K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'Amorette" lenye brand yake ambapo atakuwa anauza furniture mbalimbali za nyumbani pamoja na mambo ya interior decorations.

1474016365405.jpg
 
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, jackline ntuyabaliwe maarufu kama k- lynn au boss lady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'ammorrete " lenye brand yake View attachment 401358ambapo atakua anauza furniture mbali mbali za nyumbani pamoja na mambo ya decorations.

Kwani nani kabisha kuwa siyo mke wake halali? Mke wake wa kwanza yuko wapi?
 
Huyu Jaq kweli kakamata Fursa, maana vitu anavyomiliki is worth it....Kwanini wadada hawajifunzi kwake, utulivu ndo kila kitu, nashindwa kuelewa kwanini Madame Rita alishindwa hili!! Kiukweli wasanii kuchukuliwa na wasanii wenzao ni kuchezeana period!!
 
-->>NI VYEMA ANGEANZISHA TAASISI YA KIFEDHA YA UKOPESHAJI,UKIZINGATIA HALI YA SASA NI NGUMU KWA KILA MTU./ AU AANZISHE A LARGER BONDS FACILITIES" KAMA ULAYA WITH A HUGE GODOWN./
 
kaita warembo wenzie wenyeheshima kuzindua ofisi yake,ila wakati mwingine shule inasaidia kukimbizana na umaarufu
I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
 
Back
Top Bottom