Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Dah nakubaliana na ww. kama Tyrese....I like them girlz!Hiyo crew ya kina klyn huwa ya ukweli sana... I like them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nakubaliana na ww. kama Tyrese....I like them girlz!Hiyo crew ya kina klyn huwa ya ukweli sana... I like them
Labda she is not into financial market and hataki umizana kichwa kufuatilia madeni na nini, she is doing what she has passion for and pia alichosomea ni decor.. Sasa kwenda kumfanya abalance books of accounts na kusoma magraph ya uchumi ni kumlisha matango pori-->>NI VYEMA ANGEANZISHA TAASISI YA KIFEDHA YA UKOPESHAJI,UKIZINGATIA HALI YA SASA NI NGUMU KWA KILA MTU./ AU AANZISHE A LARGER BONDS FACILITIES" KAMA ULAYA WITH A HUGE GODOWN./
HAYO NI MAMBO YA NDANI YA MTU(KIFAMILIA),Duniani kuna msamiati TALAKA na hutumika panapofaa.Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
Duu ulifaidi sanaaaDaaaaaahhhhh X wangu wa zaman huyu
yaani achatu ndugu yangu,sasa hapa bongo mtu kuwa celebrity anaona kasha maliza dunia yote,nambaya zaidi hawa jifunzi kwa walio fail before..!!Hawa wadada kina Nancy,Kline,Faraja,Hoyce walitumia urembo kama means yakufanikisha harakati zao achana na hawa wanao shinda kwenye mabar,inst kukaa uchi nakubadilisha shape wanasahau kuwa umri unaenda alafu wamesahau sura zao wamezitunza kwa mkorogo na maplastic surgery!!nawaone huruma sanaI think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
Mtt Mashaalaah uyu kwa bedDuu ulifaidi sanaaa
Alifariki kwa.......Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
Hiyo inaitwa beauty with brain..... Wadada wengine siku hizi hawajui even beauty fades away unatakiwa kufanya vitu vya maana investment particularly wao wanaenjoy checking in kwenye prestigious hotel having dinner wapost intagram, kweli unaambiwa ukiwa na elimu + maarifa no one can take away your education.......yaani achatu ndugu yangu,sasa hapa bongo mtu kuwa celebrity anaona kasha maliza dunia yote,nambaya zaidi hawa jifunzi kwa walio fail before..!!Hawa wadada kina Nancy,Kline,Faraja,Hoyce walitumia urembo kama means yakufanikisha harakati zao achana na hawa wanao shinda kwenye mabar,inst kukaa uchi nakubadilisha shape wanasahau kuwa umri unaenda alafu wamesahau sura zao wamezitunza kwa mkorogo na maplastic surgery!!nawaone huruma sana
Nimecheka sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona
Nilidhani wewe ni mmoja wapo kwenye hiyo crew 😉Hiyo crew ya kina klyn huwa ya ukweli sana... I like them
Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.Hiyo crew ya kina klyn huwa ya ukweli sana... I like them
Hahaahahahahwaliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona