jonathan18
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 201
- 94
Thanks for your point of correction "think" should not be there...... I appreciate [emoji106]If you totally agree then... what's your doubt by using that phrase "I think..."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks for your point of correction "think" should not be there...... I appreciate [emoji106]If you totally agree then... what's your doubt by using that phrase "I think..."
Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yakeBei zake humo zitakua balaa Tanzania watu exposure bado sana...aisee...same old same old....
Watatu wawili wapo mmoja ndio marehemu....Regina,Abdiel, Motie(R.I.P).Yupo mkuu mengi alishawahi Kuoa na Ana watoto wawil mmoja kafa mmoja yupo hai
Mkuu wacha uzushi. Huyo mama yupo.Alifariki kwa.......
Kuna watu wana nyota ya kutosemwa yani hii couple ingekuwa bi couple nyingine age difference na ndoa ya mzee ya awali basi ingesemwa hatari.Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
huyu dada kapata bingo tu.. na kajua kulitumia danga vizuri..Katimiza msemo tukiwezeshwa tunaweza...angefungua kabla ya kuwa na babu ningempata big up ila kwa hili tunafundisha mabinti kuwa whore ...I ain't saying she a gold digger
But she ain't messin with no Broke niggas... Kanye west
Nipo Binamu miss u muchBinamu upo, nimekumic
waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona
Nakubaliana nawe ,kawadharau kina wema, jokate, wolper , aunt , lulu n.k ,
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'Amorette" lenye brand yake ambapo atakuwa anauza furniture mbalimbali za nyumbani pamoja na mambo ya interior decorations.
View attachment 401358
Mademu wa kibongo wanajua kuomba hela tu wakasukie mawigi kwa asnat pale mwengeHuwa napenda Mademu wa aina hii ambao " wanabanduliwa " na " Mataita " halafu na Wao wanajiongeza siyo hii Midemu mingine kutwa " inabanduliwa " na " Mitaita " halafu inaishia tu kuomba Hela ya kwenda kusuka nywele Mwenge, kununua Madila Kariakoo na ya kununulia Vocha na kupangiwa Chumba kwa Mtogole. Safi sana K-Lynn " nyapu " yako inakulipa sasa imemkuna kunakotukuka " Mipua " hadi sasa kachanganyikiwa nawe.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona
Kuna watu wana nyota ya kutosemwa yani hii couple ingekuwa bi couple nyingine age difference na ndoa ya mzee ya awali basi ingesemwa hatari.
Lakini ajabu kwao kila mtu anamsifia k lyn