K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Duh safi sana. Ila hiyo bei ya hivyo vitu sijui itakuaje
 
-->>NI VYEMA ANGEANZISHA TAASISI YA KIFEDHA YA UKOPESHAJI,UKIZINGATIA HALI YA SASA NI NGUMU KWA KILA MTU./ AU AANZISHE A LARGER BONDS FACILITIES" KAMA ULAYA WITH A HUGE GODOWN./
Labda she is not into financial market and hataki umizana kichwa kufuatilia madeni na nini, she is doing what she has passion for and pia alichosomea ni decor.. Sasa kwenda kumfanya abalance books of accounts na kusoma magraph ya uchumi ni kumlisha matango pori
These other women should learn a thing or two from her sio kupost their 'sitting allowance' and 'baby restaurants' kwenye social media
 
I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
yaani achatu ndugu yangu,sasa hapa bongo mtu kuwa celebrity anaona kasha maliza dunia yote,nambaya zaidi hawa jifunzi kwa walio fail before..!!Hawa wadada kina Nancy,Kline,Faraja,Hoyce walitumia urembo kama means yakufanikisha harakati zao achana na hawa wanao shinda kwenye mabar,inst kukaa uchi nakubadilisha shape wanasahau kuwa umri unaenda alafu wamesahau sura zao wamezitunza kwa mkorogo na maplastic surgery!!nawaone huruma sana
 
Hiyo inaitwa beauty with brain..... Wadada wengine siku hizi hawajui even beauty fades away unatakiwa kufanya vitu vya maana investment particularly wao wanaenjoy checking in kwenye prestigious hotel having dinner wapost intagram, kweli unaambiwa ukiwa na elimu + maarifa no one can take away your education.......
 
Katimiza msemo tukiwezeshwa tunaweza...angefungua kabla ya kuwa na babu ningempata big up ila kwa hili tunafundisha mabinti kuwa whore ...I ain't saying she a gold digger
But she ain't messin with no Broke niggas... Kanye west
 
Back
Top Bottom