Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, jackline ntuyabaliwe maarufu kama k- lynn au boss lady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald mengi, hivi karibuni amefungua duka lake jipya la FURNITURE 'ammorrete " lenye brand yake View attachment 401358ambapo atakua anauza furniture mbali mbali za nyumbani pamoja na mambo ya decorations.
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
kaita warembo wenzie wenyeheshima kuzindua ofisi yake,ila wakati mwingine shule inasaidia kukimbizana na umaarufu
Sasa angewaita kina shilole unadhani?kaita warembo wenzie wenyeheshima kuzindua ofisi yake,ila wakati mwingine shule inasaidia kukimbizana na umaarufu
I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....kaita warembo wenzie wenyeheshima kuzindua ofisi yake,ila wakati mwingine shule inasaidia kukimbizana na umaarufu
Mke wa kwanza wa Mengi yupo wapi?au alikuwa bado hajaoa!