unaweza ukasema walianza kudate lini?Unajua maana ya danga au unaongea tu popompo wewe. Ina maana hata baba yako ni danga kwa mama yako au sio?. Watu wamependana wameoana tatizo lipo wapi? Na huo udanga umetoka wapi? Usitake kuandika hapa ili watu wakuone na wewe umeandika kitu
Jokate unamuonea kanajitahidi na ile Brand yake ya kidoti.
As is!Kwanini rwanda na sio burundi?
Lau Masha!Macha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kipindi icho. Kwa sasa yupo kitaa tu
Lau Masha!Macha yupi? Hans Macha au
Jaq au well done Mengi?Welldone Jackline.
Umbea mwingine mbaya sana tena sio ajabu wanaodiscuss haya midume,hapa uzi unahusu biashara mnakurupuka na mke wa mengi yanawahusu niniHili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
Kitakachokuua mapema ni umbea tu sio kingine...Shuwain wewe fisi majiYupo Machame Nkwarungo
Kajitulia zake na lile limjumba pale la maana
Kufukuzana hataki si unajua tena ndugu zangu wamachame wakishapata nyumba na friji wameridhika
No stress
Ushamba kweli wa buguruni kwa mfuga mbwa kulia barazani nje chooSijui ni ushamba wangu??!! Ila hii dining table kwangu mimi sio nzuri hata kidogo.
Tatzo kiziwi unaona tu nakutaman lkn husikiiInterior decoration tings, uwiiii ninavyopenda vitu vizuri natamanije! Kudos Jack.
Endelea kuwaza ujingaaa ukistuka mvi zimetokaMimi huwa nawaza tu Mengi alimfata direct au alitumia dalali au bi mdada alijirengesha, anyway kila la kheri kwake
Acha uzumbukuku *****Kitakachokuua mapema ni umbea tu sio kingine...Shuwain wewe fisi maji
haa aa ilikua katika habari za kitaifa lolsNilishangaa ktk habari ya ITV habari hii ilipewa kipaumbele ktk habari za kitaifa na sio hata za biashara na ilichukua kama dk 6, dah!
Mbona hamji market,, ingependeza sana tuwatambueAaaah jaman wewe ni mchokozi ujue, ebu muache binamu yangu, sisi tuna crew yetu ya udaku, jiji zima linatuogopa, aaah aah
wabongo watata sana kulipa mikopo, hasa awamu hii ya tano!-->>NI VYEMA ANGEANZISHA TAASISI YA KIFEDHA YA UKOPESHAJI,UKIZINGATIA HALI YA SASA NI NGUMU KWA KILA MTU./ AU AANZISHE A LARGER BONDS FACILITIES" KAMA ULAYA WITH A HUGE GODOWN./
Tujadiliane tunajifunza nin kwenye biashara zake, kujadili kaoa lini na nani haitusaidii kitu!!Hili jambo nami hujiuliza sana, Mengi alikua hakufunga ndoa au more money less masharti ya kiimani n vice versa?
Me Miriam Odemba nampendea kwenye confidence duuh that chick got it at the fullest.hahaha usinitukanie Odemba wangu wa tangazo la Revola sabuni , yaani nampenda yule Dada hakuna aliyemfunika hadi sasa! wakina odemba na millen wanatoa kutokana na uwezo wao huwez fananisha na huyo klyn mke wa bilionea