Halafu hao mashoga karibia wote wamedate /kuvunja ndoa za wanawake wenzao isipokuwa FRAJA NYALANDU, lakini wanasifiwa kwa kuwa wamechukua wanaume wenye pesa na ku act.. kisomi, ila ukweli wote ni waibaji wa waume kama kina wema sepetu tu tofauti ni class ya wanaume.Katimiza msemo tukiwezeshwa tunaweza...angefungua kabla ya kuwa na babu ningempata big up ila kwa hili tunafundisha mabinti kuwa whore ...I ain't saying she a gold digger
But she ain't messin with no Broke niggas... Kanye west
Ila mapenzi hamjui, mpaka mkurupushwe ndyo mnakatika barahaWe acha hiyo kabisa. ...WANAWAKE WA KICHAGA TUNA HEKIMA NA BUSARA. ..
Huo umaarufu walikua nao toka zamani?kwa hiyo unatushauri tuwakate maskiniHao wote uliowata hamna aliekuwa kapuku. Au sijui maana ya kapuku
Sana halafu alikuwa haendi kama anadanga, anaenda na ma file na kujifanya yuko busy na luch anawahi shughli ya kibiashara kumbe hamna lolote file zilikuwa na karatasi za kuandikia mashairi ya bongo fleva, na wala hana elimu ya chuo kikuu alikuwa mwanamuziki wa bendi akajiongeza kuimba bongo fleva eti leo anaitwa msomi, kisa katulia na Mengi?! mjini vituko viko vingi jamani.Ngekewa hiyoo!!
Kadanga sana pale Kilimanjaro[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Umeona eeeehhh!!!Halafu hao mashoga karibia wote wamedate /kuvunja ndoa za wanawake wenzao isipokuwa FRAJA NYALANDU, lakini wanasifiwa kwa kuwa wamechukua wanaume wenye pesa na ku act.. kisomi, ila ukweli wote ni waibaji wa waume kama kina wema sepetu tu tofauti ni class ya wanaume.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] form four failureSana halafu alikuwa haendi kama anadanga, anaenda na ma file na kujifanya yuko busy na luch anawahi shughli ya kibiashara kumbe hamna lolote file zilikuwa na karatasi za kuandikia mashairi ya bongo fleva, na wala hana elimu ya chuo kikuu alikuwa mwanamuziki wa bendi akajiongeza kuimba bongo fleva eti leo anaitwa msomi, kisa katulia na Mengi?! mjini vituko viko vingi jamani.
Kwahiyo huyo Luca kawagonga wote mtu na dada yake nielewesheni?Umeona eeeehhh!!!
Ila sasa anaonekana shujaa!
Tena Nancy Luca katoka hadi na Nakaaya...
Angekua Wema hapo!
Ndo maana nasema hata gigy money akipata danga la maana ataitea madame na watamsifia!
Well said mkuu!Katika warembo wenzie wenyeheshima kuzindua ofisi yake,ila wakati mwingine shule inasaidia kukimbizana na umaarufu
Mapenzi yanaleta chakula mezani, yanajenga nyumba, yana somesha watoto shule? Acha hiyo kapsa walahi! Nani anataka ulemavu? Duh! MIMI HIYO I WILL PASS IT OVER!Ila mapenzi hamjui, mpaka mkurupushwe ndyo mnakatika baraha
Yupo, Na yeye ana mawe kama kawa nishawahi kufanya kazi kwake kama interior, yuko poa sanaWelldone Jackline.
Haa haa haa...mwasu unamjua vizuri le madam, three times my bro ananiita pale kempinski nikavizie buffet lao ( manake alikuwa food & beverage manager) namkuta pale na kibriefcase kidogo cheusi utaona anachomoa laptop na karatasi anaandika andika huku anang'aa ng'aa macho huku na kule ila sie wajanja unajua mchezo na ishu zingine tu siwezi sema zote...ukiongea hapa unaonekana una wivu na chuki[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Sana halafu alikuwa haendi kama anadanga, anaenda na ma file na kujifanya yuko busy na luch anawahi shughli ya kibiashara kumbe hamna lolote file zilikuwa na karatasi za kuandikia mashairi ya bongo fleva, na wala hana elimu ya chuo kikuu alikuwa mwanamuziki wa bendi akajiongeza kuimba bongo fleva eti leo anaitwa msomi, kisa katulia na Mengi?! mjini vituko viko vingi jamani.
Eeehh!!Ila Nancy kambeba jumla ndo maana walikua hawaelewani na yule baba alikua na mke na watoto wawiliKwahiyo huyo Luca kawagonga wote mtu na dada yake nielewesheni?
Hahaaa atabakia tu kuwa X wako maana hakuiona Future (asingetoka kimaisha) kama angendelea kuwa nawe!Daaaaaahhhhh X wangu wa zaman huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..., anajifanya anajua sana nini cha kufanyaMshauri mke wako anzishe hiyo taasisi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa atabakia tu kuwa X wako maana hakuiona Future (asingetoka kimaisha) kama angendelea kuwa nawe!
Hapo nimekupata vizuri ndugu!Eeehh!!Ila Nancy kambeba jumla ndo maana walikua hawaelewani na yule baba alikua na mke na watoto wawili
Halafu ni ndoa kabisa ya church Ila Nancy nae kafunga ndoa ya church tena![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]