Halafu hao mashoga karibia wote wamedate /kuvunja ndoa za wanawake wenzao isipokuwa FRAJA NYALANDU, lakini wanasifiwa kwa kuwa wamechukua wanaume wenye pesa na ku act.. kisomi, ila ukweli wote ni waibaji wa waume kama kina wema sepetu tu tofauti ni class ya wanaume.Katimiza msemo tukiwezeshwa tunaweza...angefungua kabla ya kuwa na babu ningempata big up ila kwa hili tunafundisha mabinti kuwa whore ...I ain't saying she a gold digger
But she ain't messin with no Broke niggas... Kanye west