K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Halafu Jackline mzuri sana sura na umbo....na hana dharau kabisa, inaonekana hata ukiishi nae yuko poa sana!
 
Umeona ee, sema yeye alikuwa mjanja anaenda na brief case na lap top hata akiagiza kinywaji anaweza piga funda moja tu anaacha chote kwa kuwa eti yuko busy, anaandika mashairi anajidai propossal za business, leo kawa madame, loo! wakati alimuacha Jimmy Kabwe kwa dharau kisa kampata kinje mtoto wa waziri na alikuwa na pesa, kaja kamtoroka kinje kwenda south na mzungu, kufika kule mzungu kamla kamuacha hotelini, eti akarudi na gia kuwa alitekwa haaaa, nicheke mie akidhani kinje fala, akakuta kinje kashavuta lAnita mtoto mdogo mzuri na akafunga ndoa kabisa kumuonesha jack kuwa amesha muacha, nashangaa wema kuitwa malaya kumbe wote walewale tu, huyu Nancy nae kachepuka na mume wa mtu mwisho kamkwiba kabisa, sophia nae ni nyumba ndogo, Irene kiwia hivyo hivyo, Nasree karim nae alianza kugawa kwa mzungu sijui muhindi yule wakati Mange yuko bongo ndio alikuwa mwalimu wake, wote malaya sema wanatafuta fursa hawatoi kwa kina Dai kama kina sepetu.
 
Asante....

Vere true

Ila watu wanashinda kuwasifia
 
Umeona eeeehhh!!!

Ila sasa anaonekana shujaa!

Tena Nancy Luca katoka hadi na Nakaaya...

Angekua Wema hapo!

Ndo maana nasema hata gigy money akipata danga la maana ataitea madame na watamsifia!
Upofu wa pesa za machache

Huyo mwingine ndio hata aibu kuzungumza.....mwanaume awafirimbise wote amuache mkewe akuoe halafu watu wamuone shujaa
 
Upofu wa pesa za machache

Huyo mwingine ndio hata aibu kuzungumza.....mwanaume awafirimbise wote amuache mkewe akuoe halafu watu wamuone shujaa
Umeona eeehhh!

Ndo maana watu wana bahati sana jamani!

Wanaonekana ma iron lady!

Kweli heshima pesaa!!
 
Alimfanya nini mkewe?

Mpaka kiruka ukuta ujue alikuwa na soo

Hahaha
Alikuwa nyumbani kwa Mademe Rita wakati huo anatoka nae, mkewe akapewa taarifa walikuwa bado hawajaachana mke akaenda machache kuona mke anaingia getini akatokea mlango wa nyuma akaruka ukuta ndukii, chezea status wewe alikuwa tayari avunje kiuno kuliko kujaza watu washuhudie kafumaniwa.
 
Hahahah
 
Hata wema akipata danga la maana atatulia...

Waache kumsemasema utadhani anawamalizia utamu wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hats gigy money pia ataitwa madame!!

Muda wake bado wa kuliokota kifadhili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiseehhh!!!

Binadamu sie!
 
Asee umechukua file langu kwake lote...ile ya kujifanya katekwa ndo iliniachaga hoi! Kumbe mzungu muhuni tu hana future.. alikuwa kama wema tu sema utofauti ni kuwa wema anachukuliwa na chokoraa ( ukimtoa CK) Jack anachagua esteemed & status people
 
Huo umaarufu walikua nao toka zamani?kwa hiyo unatushauri tuwakate maskini
Kwahio kwasababu hawakuwa maarufu ndio makapuku?! Sikushauri umkubali/umkatae yoyote huo ni uamuzi binafsi.
 
Yeuwii. ...
 
Toka Nancy awe shost wa Jack...Irene Kiwia kama katengwa hivii simuoni na Nancy tena na walikuwa pika nipakue
 
year men.. k-lyinn aka mke wa Mengi kipindi akiimba muziki alikua anapigwa mipini sana zaidi hata wakina Wema sepetu na alikua mwepesi sana kuachia papuch yake,, huyu ni kama akina wema tuu.. mtu kama hyce temu, nany sumari ndio hawakuwahi kuwa na nyota ya umalaya.. But all in all Mungu akamfungua akili mara ooh tukasika yupo na mzee na huyo mzee ni kama bingo ilimtembelea ndio akawa mpole na akatulia.. Mungu akuongoze na ndoa yako yaliyopita si ndwele piga kazi maisha yameshakunyookea usirudi nyuma mama..
 
"Wanatoroka na wazungu ,wanamegwa na vibabu...wanaiba wanaume Wa wenzao USO mkavu hawana aibu..." -MwanaFA


Bado niponipo sana [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…