Umeona ee, sema yeye alikuwa mjanja anaenda na brief case na lap top hata akiagiza kinywaji anaweza piga funda moja tu anaacha chote kwa kuwa eti yuko busy, anaandika mashairi anajidai propossal za business, leo kawa madame, loo! wakati alimuacha Jimmy Kabwe kwa dharau kisa kampata kinje mtoto wa waziri na alikuwa na pesa, kaja kamtoroka kinje kwenda south na mzungu, kufika kule mzungu kamla kamuacha hotelini, eti akarudi na gia kuwa alitekwa haaaa, nicheke mie akidhani kinje fala, akakuta kinje kashavuta lAnita mtoto mdogo mzuri na akafunga ndoa kabisa kumuonesha jack kuwa amesha muacha, nashangaa wema kuitwa malaya kumbe wote walewale tu, huyu Nancy nae kachepuka na mume wa mtu mwisho kamkwiba kabisa, sophia nae ni nyumba ndogo, Irene kiwia hivyo hivyo, Nasree karim nae alianza kugawa kwa mzungu sijui muhindi yule wakati Mange yuko bongo ndio aliwa mwalimu wake, wote malaya sema wanatafuta fursa hawatoi kwa kina Dai kama kina sepetu.