K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

ndio mkuu hakuwa na zile skondo zilizokidhiri.. hizi za chinichini kibinadamu hazikosekani, hapa tunazungumzia ile iliyokidhiri mpaka mji mzima unakunyooshea kidole
Hapo sawa mkuu nimekusoma...hazijakithiri kweli ila utofauti wake ni kuwa Nancy ni msiri sana while wema ni public hilo tuu...
 
Kuwa na ndoa halali bahati ukiona unakimbiwa mpaka na mzungu basi jiulize maana wale ndio zoazoa.
Sure... mzungu ni never mind na hataki kujua mambo yako...bishost labda alijipeleka mzungu hakumfeel kivileee... Fina Mango kala bingo na mzungu wake...
 
Hapo sawa mkuu nimekusoma...hazijakithiri kweli ila utofauti wako ni kuwa Nancy ni msiri sana while wema ni public hilo tuu...
year real nimekupata kidogoo witness but wema ni public na kazidishisha na nancy ni msiri ila hajazidisha.. wema ameshindiliwa mavitu mengi sana sio kama huyo nacy lol
 
Yaani liwema linaniboaga hadi basi, hivi we kile kiidrisa ni cha kumpanulia liharage lake kweli?!?[emoji15] [emoji15] ....ukikutana nacho kina mambo ya kitoto toto halafu kishamba flani hivi amazing!!!... Nikajisemea khaa wema anayaweza asee...
Ni kweli kuna vitu anafanya Wema unaona kabisa she is not well nurtured, mamatatizo hapendi kukosolewa.
 
year real nimekupata kidogoo witness but wema ni public na kazidishisha na nancy ni msiri ila hajazidisha.. wema ameshindiliwa mavitu mengi sana sio kama huyo nacy lol
True...mi nilivyokutana na kiidrisa live na mwenzake wanaongea utoto utoto na michezo ya kufinyana, nikamuimagine na wema alivyo, na anavyomfunulia liharage lake...toka cku hiyo nilimnawa asee, she 's so cheap and worthlessness[emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
kweli maisha ni kizungumkuti.. kila mtu anajichagulia lililo bora kwake japo kuna maisha bora in general kibinadamu yanayokubalika katika jamii, but kama hayo masha ni starehe kwao tuwaache tuu coz mtu kama wema ukimuweka sehemu tulivu na akipata mwanaume mstaarabu hawezi kuishi nae.. hata umpe mradi wa ma-bilioni hawezi kufanya.. analopenda yeye ni starehe na kuonekana kwenye media.. tumuache na maisha yake tuu
 
Nyinyi mnaomuonea wivu Klyn hamjui tu mwenzenu anayopitia, katika umri huo kwanza wazee wengi wako kwenye regular medications, kwahiyo bibie lazima ahakikishe kuna glass ya maji pembeni mzee asisahau kunywa dawa. Inabidi ujifunze kubadilisha catheter bag, haki ya ndoa mwenzako anaona unamuonea/kumsumbua wakati wewe ndiyo uko kwenye peak time. Hakuna bure rahisi.
 
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
Duhh hili picha lilikuwa la aina yake. Mzee aliruka ukuta!!?
 
Maneno ya mkosaji haya!Pole kama unaumia kuhusu ndoa ya mzee Mengi na K-lyn na watu wanavyowasifu
HAYO NI MAMBO YA NDANI YA MTU(KIFAMILIA),Duniani kuna msamiati TALAKA na hutumika panapofaa.

Zile mbumbu zao zinapiga kazi daladala cha mtoto

Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.

We unamtaka mke wake wa kwanza wa nn? Umbea tu, sisi tunamjua k Lynn wengine tupa kule

Aaaah jaman wewe ni mchokozi ujue, ebu muache binamu yangu, sisi tuna crew yetu ya udaku, jiji zima linatuogopa, aaah aah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…