witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Hapo sawa mkuu nimekusoma...hazijakithiri kweli ila utofauti wake ni kuwa Nancy ni msiri sana while wema ni public hilo tuu...ndio mkuu hakuwa na zile skondo zilizokidhiri.. hizi za chinichini kibinadamu hazikosekani, hapa tunazungumzia ile iliyokidhiri mpaka mji mzima unakunyooshea kidole