K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Ila hayafuti ya zamani!!!pia

Acha ajadiliwe kama wengine
Maana nao muda ukifika wakiokota danga la maana km hilo watatulia

Wote die wachafu sawa Ila ya zamani yako palepal!
Jack hayupo kama hao viruka njia bana hata robo hawafikii mtoto Wa watu amelelewa kiheshima sana classical chezea wahaya

wewe hakuna kitu cha ajabu alichokifanya Jack ukikinganisha na kawaida ya adolescent age ambayo wote wanapitia sisi tunaongelea hawa ajuza wetu ambao hawataki kubadilika na umri.
 
Alikua anajiuza jmall casino huyo kylinn
Ukisema klyn alikua anajiuza ni kuaibisha urembo kwanza kwao matawi ya juu ajiuze anatafuta nini pili alikua star wanaume na pesa zao wangemfuata sababu ni celebrity mrembo haitaji kujianika casino ndio apate wateja na kama alikua kibiashara wala usingemuona casino.

Unaweza kuniambia Lulu anaweza kwenda casino kujiuza.
 
Hivi kumbe bado mpaka leo kuna Wanaume wanatongoza ki " analogue " hivyo?

Hao ni wengi sana, unapopoteza uwezo wa kujiamini mara nyingi utumia vyeo, pesa, Elimu kuwa siraha ya kukubalika kwenye jambo lolote.
Mwanaume ongea watu watakujaji kwa uwezo wako kuchanganua mambo.
 
Sijui ni ushamba wangu??!! Ila hii dining table kwangu mimi sio nzuri hata kidogo.

aw1a9465-jpg.401413
Ni nzuri sana, hiyo ni mbao halisi sema tu ww umezoea za kichina zinazotengezewa pumba za, mbao.
 
Klyn namwombea awe hakumuumiza roho yule mke wa Mengi wa kwanza maana binadamu malipo ni hapa hapa duniani. ..naye ana watoto .....aombe sana kwa MWENYE ENZI MUNGU. ...mke wa kwanza akiangusha chozi lake huwa linafika moja kwa moja kwa MAULANA. .ehh MOLA wangu tuongoze. ..wazungu wanasema 'what goes around comes around ' ... ndiyo maana dini nyingine zina waheshimu sana wake wa kwanza na hata makabila mengine pia, tena huwa wanaomba kibali cha kuoa maana wanaelewa bila blessings za bi mkubwa ni kutwanga maji kwenye kinu...WATCH AND PRAY
 
Jack hayupo kama hao viruka njia bana hata robo hawafikii mtoto Wa watu amelelewa kiheshima sana classical chezea wahaya

wewe hakuna kitu cha ajabu alichokifanya Jack ukikinganisha na kawaida ya adolescent age ambayo wote wanapitia sisi tunaongelea hawa ajuza wetu ambao hawataki kubadilika na umri.
Zamani mimi mwenyewe nilijua Jack mhaya, wahaya wanatamani kila mtu maarufu awe wa kwao the same tu wachaga, haya makabila Nyerere Aliya hofia sana
 
Ukisema klyn alikua anajiuza ni kuaibisha urembo kwanza kwao matawi ya juu ajiuze anatafuta nini pili alikua star wanaume na pesa zao wangemfuata sababu ni celebrity mrembo haitaji kujianika casino ndio apate wateja na kama alikua kibiashara wala usingemuona casino.

Unaweza kuniambia Lulu anaweza kwenda casino kujiuza.

Husibishe ili ubishe tu alikua anafsnya kazi pale chini jmall casino samora huku anajiuza kwa wazungu vibabu
 
Ni nzuri sana, hiyo ni mbao halisi sema tu ww umezoea za kichina zinazotengezewa pumba za, mbao.
Labda ungeniuliza kwanini naiona mbaya. Ni design ndio mbaya sijui quality ya material iliotengenezwa ambayo naweza kuamini ni ya juu,design ndio mbaya. Btw kwangu hamna takataka za kichina.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] kwa uandishi huu na wasiwasi ulikua mpaka rangi wa kucha za Jackline
Mkuu unauwezo mkubwa wa ku connect dots. Uandishi tu unaraise red flags.
 
Ukisema klyn alikua anajiuza ni kuaibisha urembo kwanza kwao matawi ya juu ajiuze anatafuta nini pili alikua star wanaume na pesa zao wangemfuata sababu ni celebrity mrembo haitaji kujianika casino ndio apate wateja na kama alikua kibiashara wala usingemuona casino.

Unaweza kuniambia Lulu anaweza kwenda casino kujiuza.
Wasanii ndyo wanaongoza kwa kujiuza, wakiwatumia wasanii wenzao haswa wa comedy kama madalali Steve Nyerere anatajwa, ila chonde husije ukaokota milioni ukakurupuka utaishia kuliwa hela au kutukanwa, mbinu zote Ney wa mitego kuna kipindi aliziweka hadharani, Wema mpaka mwaka jana ilikuwa milioni laki tano hadi milioni mbili mwaka huu, wolper ilikuwa laki nane hadi tisa, lulu kafanya sex group akiwa na msanii mwenzie yule mfupi wakiwa na marehemu Komba, na hata nyumba na gari kanunuliwa na huyo, Jackline hasijiuze ye nani kumbuka alikuwa na Kinje baadaye akatimkia South na kuwa na mzungu, yupo very strategically kwenye kuchagua hataki shida,
 
Labda ungeniuliza kwanini naiona mbaya. Ni design ndio mbaya sijui quality ya material iliotengenezwa ambayo naweza kuamini ni ya juu,design ndio mbaya. Btw kwangu hamna takataka za kichina.
Labda, maana uzuri wa kitu upo machoni pa mtu mwenyewe. Kwangu naona ni nzuri na inanivutia ila kwako ni kinyume chake. Naheshimu wazo lako pia.
 
Back
Top Bottom