K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Asee umechukua file langu kwake lote...ile ya kujifanya katekwa ndo iliniachaga hoi! Kumbe mzungu muhuni tu hana future.. alikuwa kama wema tu sema utofauti ni kuwa wema anachukuliwa na chokoraa ( ukimtoa CK) Jack anachagua esteemed & status people
Na bahati kipindi kile hakukuwa na insta...
 
Asee umechukua file langu kwake lote...ile ya kujifanya katekwa ndo iliniachaga hoi! Kumbe mzungu muhuni tu hana future.. alikuwa kama wema tu sema utofauti ni kuwa wema anachukuliwa na chokoraa ( ukimtoa CK) Jack anachagua esteemed & status people
Ndo tatizo la wema...!!

Anapenda cheap publicity anazidiwa hadi ma lulu!
 
year men.. k-lyinn aka mke wa Mengi kipindi akiimba muziki alikua anapigwa mipini sana zaidi hata wakina Wema sepetu na alikua mwepesi sana kuachia papuch yake,, huyu ni kama akina wema tuu.. mtu kama hyce temu, nany sumari ndio hawakuwahi kuwa na nyota ya umalaya.. But all in all Mungu akamfungua akili mara ooh tukasika yupo na mzee na huyo mzee ni kama bingo ilimtembelea ndio akawa mpole na akatulia.. Mungu akuongoze na ndoa yako yaliyopita si ndwele piga kazi maisha yameshakunyookea usirudi nyuma mama..
Nancy hakuna na nyota ya nini?.....ha ha ha labda huyo Hoyce ndo sijui ishu zake
 
Ndo tatizo la wema...!!

Anapenda cheap publicity anazidiwa hadi ma lulu!
Yaani liwema linaniboaga hadi basi, hivi we kile kiidrisa ni cha kumpanulia liharage lake kweli?!?[emoji15] [emoji15] ....ukikutana nacho kina mambo ya kitoto toto halafu kishamba flani hivi amazing!!!... Nikajisemea khaa wema anayaweza asee...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] form four failure

Kama wengine kina wema!!

Sema ndo kwa kua anapedeshee na alovyompata kajibebesha mimba fastaa

Zee lile angelipta wema wangesema gold digger!!!

Kweli duniani kila mtu na bahati yake!
Kweli kila MTU na bahati yake [emoji3]

Laiti wanawake Wa JF wangenijua basi mmoja wao angepata bahati hiyo .

Tatizo mpo over selective sana .

Hizo ID fake zinawadanganya sana[emoji12]

Changamkieni fursa the post still vacant someone has to fill it before ....haijapotoa[emoji14]
 
Yaani liwema linaniboaga hadi basi, hivi we kile kiidrisa ni cha kumpanulia uchi kweli?!?[emoji15] [emoji15] ....ukikutana nacho kina mambo ya kitoto toto halafu kishamba flani hivi amazing!!!... Nikajisemea khaa wema anayaweza asee...
Wema tatizo lake ana mapenzi ya moyoo!!

Ndo maana kwa CK hakukaa...!
Kwa sababu alikua hampendi!

Wanaume wake wa ajabu ajabu tu!

Mpk anakera!
 
Toka Nancy awe shost wa Jack...Irene Kiwia kama katengwa hivii simuoni na Nancy tena na walikuwa pika nipakue
Waligombana wale baada ya Nancy kuwa close na luca Nacy akaanza nyodo na kutaka share yake kwa Irene maana walikuwa na kampuni yao na ndio walikuwa wanatafuta warembo "visura" (mimi ni kisura najitambua) sasa mabo yalikuwa si mazuri Irene akamwambia poa utapata chako ila Nancy hakuwa na subira akafanya kama ugomvi vile kudai mwenzake HATAKI kumpa chake, kumbe alikuwa anakusanyiwa taratibu Irene aka mind akampa chake wakakata ushoga, ndio maana hata kwenye hilo kundi Irene sasa hayupo.
 
Acha uzumbukuku *****

Mjadala uko kotekote

Au una ubia na Jack

Pumbavuuu taahira wahed
Mapopo wengine kama mbuzi wa kafara tu,povu jingi kushadadia ya watu,mwambie na dadaako afungue duka lake auze alichonacho kama umeona nongwa kibudu wewe
 
Kweli kila MTU na bahati yake [emoji3]

Laiti wanawake Wa JF wangenijua basi mmoja wao angepata bahati hiyo .

Tatizo mpo over selective sana .

Hizo ID fake zinawadanganya sana[emoji12]

Changamkieni fursa the post still vacant someone has to fill it before ....haijapotoa[emoji14]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja nije miyee...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Waligombana wale baada ya Nancy kuwa close na luca Nacy akaanza nyodo na kutaka share yake kwa Irene maana walikuwa na kampuni yao na ndio walikuwa wanatafuta warembo "visura" (mimi ni kisura najitambua) sasa mabo yalikuwa si mazuri Irene akamwambia poa utapata chako ila Nancy hakuwa na subira akafanya kama ugomvi vile kudai mwenzake HATAKI kumpa chake, kumbe alikuwa anakusanyiwa taratibu Irene aka mind akampa chake wakakata ushoga, ndio maana hata kwenye hilo kundi Irene sasa hayupo.
Oooh ok OK..never knew this!!!...hivi Irene kaolewa?
 
Basi Nancy ana kisirani!!

Kweli uzuri wa mkakasi!
 
Oooh ok OK..never knew this!!!...hivi Irene kaolewa?
Nae baada ya kuzaa na mzungu akaachwa akwa choka mbaya sana, akajificha ficha akaja akampata mtoto wa Daniel Yona nae anapesa balaa tena mume wa mtu ndio akaanza kuchepuka nae ilileta vurugu mjini maana mama alimtukana Irene haikutosha akaenda mpaka kwa wazazi wake kuwaambia wamkanye mwanao, lakini Irene hakusikia akapangishiwa nyumba kapewa mtaji akazaa nae sasa nae ni nyumba ndogo vilevile ila kwa kuwa hachezi vigodoro nae madame, jamani kweli tatizo ni nyota kwa wema.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja nije miyee...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Njoo tu Geni wangu wala usiwe na tabu

Nitakufungulia boutique la kisasa zaidi .

Tutakula lunch kule Seychelles.

Kazini utaenda kwa chopa

Chooni utaenda kwa kubebwa kama vili "mwinyi"

Dinner tutakula pale Hyatt regency Kilimanjaro.

Nitakununulia Cadillac escalade ya kukupeleka kusuka nywele[emoji14]

Come babe usihofu

Huyo k Lynn asikutoe udenda [emoji12]
 
Waooooo!!!nimekula bingoooo[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

Woyooo[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
 
Nifah mpenzi upo wapi? Mzima lakini nakusalimia tu.
 
Waooooo!!!nimekula bingoooo[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]

Woyooo[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nae baada ya kuzaa na mzungu akaachwa akwa choka mbaya sana, akajificha ficha akaja akampata mtoto wa Daniel Yona nae anapesa balaa tena mume wa mtu ndio akaanza kuchepuka nae ilileta vurugu mjini maana mama alimtukana Irene haikutosha akaenda mpaka kwa wazazi wake kuwaambia wamkanye mwanao, lakini Irene hakusikia akapangishiwa nyumba kapewa mtaji akazaa nae sasa nae ni nyumba ndogo vilevile ila kwa kuwa hachezi vigodoro nae madame, jamani kweli tatizo ni nyota kwa wema.
Duuh duuh..nilidhani ana mzungu coz namuonaga na watoto wawili mmoja shombe na mwingine black asa nikawa sielewi which and which...kumbe ndo maana kapoa asee....ktk group lao Faraja ndo hana kesi ya kuiba Mme wa mtu, lakini wengine wote ni Nyaku nyakus ( in zari's voice)
 
Back
Top Bottom