K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

Duuh duuh..nilidhani ana mzungu coz namuonaga na watoto wawili mmoja shombe na mwingine black asa nikawa sielewi which and which...kumbe ndo maana kapoa asee....ktk group lao Faraja ndo hana kesi ya kuiba Mme wa mtu, lakini wengine wote ni Nyaku nyakus ( in zari's voice)
Kuwa na ndoa halali bahati ukiona unakimbiwa mpaka na mzungu basi jiulize maana wale ndio zoazoa.
 
Mwasu uko full documented...nimekukubali. Kudos[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji106] [emoji12][/QUOTEHaahaaaa, nacheka mie, acha tuyajue yao wanajifanya matawi kumbe nyoko tu, wakiona mtu na mkewe hotelini roho zinawatoka kwa kuwa wao ni nyakunyaku kutwa outing na watoto kumbe baba zao wako na wake zao halafu eti ndio kina mademe, mfyuuuu.
 
Naona kuna misuse ya neno"danga" humu ndani.

Inawezakana wengine baba zao ni madanga ya mama zao
 
Habari zao mpaka Ununue Business Times,The Guardian utawakuta kwenye economic Forums..........sasa wewe ukijiloga ukanunua ''Wikienda''.......Ni Habari za ............. na vigodoro.
Haahaaa
I lov this
 
Waliachana mke alikuwa mtata yule mama dah iko siku alimfukuza mzee akatoka nduki akaruka ukuta wa nyumba hata geti hakuliona.
Si alienda kumfumania? Mzee alikuwa amekamatia haswa kwenye bar maarufu mnafiki akampigia simu wife wake ni pande za......dah niishie hapo coz nimekuwa boonge la mbea.
 
I think i totally agree with you shule ndio kila kitu yaan .... And nafikiri she has passion with interior designing that's why she came up with that spectacular idea of selling furniture and interior decors..... Shule shule ndio mambo yote.....
Elimu
Elimu
Elimu

By Lowassa.
 
Nancy hakuna na nyota ya nini?.....ha ha ha labda huyo Hoyce ndo sijui ishu zake
ndio mkuu hakuwa na zile skondo zilizokidhiri.. hizi za chinichini kibinadamu hazikosekani, hapa tunazungumzia ile iliyokidhiri mpaka mji mzima unakunyooshea kidole
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] form four failure

Kama wengine kina wema!!

Sema ndo kwa kua anapedeshee na alovyompata kajibebesha mimba fastaa

Zee lile angelipta wema wangesema gold digger!!!

Kweli duniani kila mtu na bahati yake!
Matatizo ya Wema ni cheap publicity ndiyo inamcost.
 
Back
Top Bottom