K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

K-Lyinn azindua duka la kifahari nchini - Amorette

True...mi nilivyokutana na kiidrisa live na mwenzake wanaongea utoto utoto na michezo ya kufinyana, nikamuimagine na wema alivyo, na anavyomfunulia liharage lake...toka cku hiyo nilimnawa asee, she 's so cheap and worthlessness[emoji31] [emoji31] [emoji31]

Liharage!!! [emoji3]
 
Hiyo inaitwa beauty with brain..... Wadada wengine siku hizi hawajui even beauty fades away unatakiwa kufanya vitu vya maana investment particularly wao wanaenjoy checking in kwenye prestigious hotel having dinner wapost intagram, kweli unaambiwa ukiwa na elimu + maarifa no one can take away your education.......
Mkuu umebonga ,yah nikweli kabisa [emoji122]
 
Hahaaaaa wolper katisha

Halafu anavyojibebisha hadi aibh
Haa haa katudhalilisha wadada wa kichaga asee...ile anavyojibebisha ili kuondoa soni anakuwa amegida ulabu wa kufa mtu[emoji16] [emoji16] ...we unadhani hajui pale kama katokota, hata kama likiazi vipi, ukweli unabaki ukweli rohoni...
 
huyu dada kapata bingo tu.. na kajua kulitumia danga vizuri..
lakini yeye na kina mwafulani ndo wale wale..
angefanya kwa pesa zake kama kina odemba au millen tunge muelewa lakini huyo baba ni sponser kwake !
ambacho katufundisha ni kukamatia danga na kutulia kulichuna haswa.
hao unaowataja viuno ndo mitaji yao. tofauti wao ni voda fasta, Ky...aaaggrrh, namaanisha k-lin kakamattia chini
 
Ndio nampenda tu,mke wa obama alijua mmewe atakuja awe raisi wa dunia?mama salma Kikwete je?mama janeth Maguful ,mi nawapenda makapuku
nipende basi mie. ni kapuku, lakini chumbani nakamua hadi poo...na ntakupendaje!!
 
Waligombana wale baada ya Nancy kuwa close na luca Nacy akaanza nyodo na kutaka share yake kwa Irene maana walikuwa na kampuni yao na ndio walikuwa wanatafuta warembo "visura" (mimi ni kisura najitambua) sasa mabo yalikuwa si mazuri Irene akamwambia poa utapata chako ila Nancy hakuwa na subira akafanya kama ugomvi vile kudai mwenzake HATAKI kumpa chake, kumbe alikuwa anakusanyiwa taratibu Irene aka mind akampa chake wakakata ushoga, ndio maana hata kwenye hilo kundi Irene sasa hayupo.

Ugomvi wao Ni kushare Luka walikua wanafanya three some Nancy , Irene kiwia na Luka sasa Nancy akivyokuja kukolea kwa luka ndio Ugomvi ukapamba Moto na mwenzie
 
Back
Top Bottom