K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

unaonaje hiii weekend hii tufanye hiyo practical chige
 
Last edited by a moderator:

Fanyeni ni microscope sasa ivi tuone
 
Last edited by a moderator:
unaonaje hiii weekend hii tufanye hiyo practical chige
Mambo c ndo hayo bwana... hapo sasa naona unaanza kuongea kiutu uzima manake mambo ya kutishiana nyau sio kabisa! Hebu andaa mwongozo kabisa manake sio tunafika Lab unaanza, oh, tulikubaliana Alternative to Practical, aaaaaaarrgh!
 
we andaa vitendea vyako vizuri tuu na mie naandaa vyangu.........
tupime yaliyomo YAMO KWELI????????????/
 
Fanyeni ni microscope sasa ivi tuone
Tutumie microscope umesikia tuna mpango wa kuchunguza bacteria? we vipi!! Hapa mwendo ni kuchukua specimen, inawekwa ndani ya kinu cha mahabara, kisha inafuata kazi ya kutwanga kwa kwenda mbele hadi specimen ilainike laiiiiiiini tayari kwa kuiweka kwenye bika wakati tunasubiria Practical Step II! Au nimekosea Heaven on Earth?!
 
Last edited by a moderator:

SI mnafanya experiment ya kila kitu jamn
 
Last edited by a moderator:
we andaa vitendea vyako vizuri tuu na mie naandaa vyangu.........
tupime yaliyomo YAMO KWELI????????????/
Hapa hakuna cha kuandaa vitendea kazi wala nini manake nipo full na tool box yangu kila pahala! Kama nakutana na gari bovu, linafunguliwa on the spot, tunafanya overhaul kisha nauliza, yamo? Kama jibu ndio, nalipiga starter hapo hapo! Dah! Tena umenikumbusha mistari yangu ya hip hop wakati nipo form ii "dereva mwenye gari bovu usinipe usije ukanipa kesi... siwezi kwenda taratibu... nimeshazoea kwenda mwendo wa kasi...!" dah... cjui kwanini nimeachia kipaji changu!!!!!!
 
SI mnafanya experiment ya kila kitu jamn
Hapa experiment ni moja tu lakini itabidi irudiwe kama mara tano hivi ili kupata uhakika na majibu! Lengo la experiment is to find out what will happen when a test tube of extreme length and girth is to be completely immersed in the the flask! Je, hizi flasks zilizo kwenye mahabara za ahsante JK kweli zina uwezo wa kuhimili kila aina ya test tube au kuna zingine ukizitumia na flasks zenyewe zinavunjikia mbali! Labda kama Heaven on Earth anataka experiment za kupasua vyura... hebu njoo uthibitishe hapa!!
 
Here we go..... practical experiment ikifanyika ushuhuda tunakuja kuutoa hapa hapa
ungekuwa unaimba sa hivi ungekua maarufu full kukujadili hapa celebrities forum.....
siku ya practical jiandae kunishushia Mistari pia..hilo litafanyika baada ya zoezi letu
 
Here we go..... practical experiment ikifanyika ushuhuda tunakuja kuutoa hapa hapa
Swadakta... tena na full data! Kwamba mathalani, experiment ya kwanza ilichukua dakika kadhaa kukamilika na baada ya hapo, ilikuwa kila ukijaribu kuchanganya chemicals... kimyaaa! Kila Bunsen Burner ikiwashwa, dakika tu; puuu... imezima!
ungekuwa unaimba sa hivi ungekua maarufu full kukujadili hapa celebrities forum.....
siku ya practical jiandae kunishushia Mistari pia..hilo litafanyika baada ya zoezi letu
Umeona enh, tena si ajabu ningekuwa nishamla Madam Wema manake wakati ule kabla hajahamia Uchina nilikuwa nammezea mate,we acha tu! Kuhusu mistari, bila kusema itabidi nikushushie baada ya kukamilika kwa practical manake hamkawii kudai hela eti ya kufidia makemiko na test tube zilizovunjika! Hapa practical tu, maombi ya kufidia kemikoz zilizotumika yatapelekwa kwa afisa elimu!
 
Mi mwenyewe ukianza kunitongoza hata sikusikilizi....

Hahahahahaa, ila akianza na vidate vya dinner na kitu kama laki 5 za kuweka mafuta kwenye gari itakuwaje?
 
Akhuu kwani mie mwandishi kusema nataka maneno nijaze kitabu???

Uwiiiiii wewe mwanamke nimekuvulia kofia kwakweli.Maneno yalikua zamani enzi za kuandikiana barua na kuchoreana makopa, siku hizi ni mwendo wa pochi tu.
Kiukweli hakuna mwanamke anayependa kuwa na mwanaume masikini hata kama awe na maneno matamu kuliko asali.
 
Haaaaa ur crazy lol...
Practical haifanyiki bure we jiandae in advance kulipia vitendea kazi
 
Haaaaa ur crazy lol...
Practical haifanyiki bure we jiandae in advance kulipia vitendea kazi
We nawe kwa kupenda pesa; ahaa! Haya bwana, kwanza hata wanafunzi vyuo vikuu wanapewaga allowance; seuze wewe practical trainee... andaa claim form kabisa bila kusahahu kuambatanisha na payment voucher!
 
Na wanaume siku hizi hawataki mwanamke mchovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…