Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Na wanaume siku hizi hawataki mwanamke mchovu.
Mtaji wa mwanamke uzuri tu.Mimi siwezi kumhonga mwanaume labda awe mume wangu, tena awe amekwama kwenye biashara zake ndio nitamkwamua.
Tofauti na hapo siwezi kufanya huo ujinga, wanaohonga hawajiamini.