K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

K Lyn afunguka kuhusu maisha yake na muziki

We nawe kwa kupenda pesa; ahaa! Haya bwana, kwanza hata wanafunzi vyuo vikuu wanapewaga allowance; seuze wewe practical trainee... andaa claim form kabisa bila kusahahu kuambatanisha na payment voucher!

Mapenzi pesa si nilishakwambia.....
Utakuta kila kitu kilishaandaliwa tayari...
Kesi yako bado yakusubiri ujue
 
Mapenzi pesa si nilishakwambia.....
Utakuta kila kitu kilishaandaliwa tayari...
Kesi yako bado yakusubiri ujue
Naona ushatoweka hewani, anyway, sio issue... kesho tukikutana hapa jamvini, jambo la kwanza ni hiyo kesi... nadhani masharti na vigezo vitazingatiwa... hakuna wazee wa baraza wala karani wa mahakama... kesi haitasikilizwa hadharani bali kwenye court chamber!
 
Nakusubiri court chamber lol..
 
Nakusubiri court chamber lol..
We bhana wakati mwingine sijui vp... nimetia timu nikiwa na imani nitakukuta kumbe haupo, aaaaaargh! I hope nikija tena nitakukuta au nitakuta ma-file tayari yapo court chamber! Isije ikawa leo unaingia kama Guest User kwa kuwa tulishakubaliana kuhusu kesho halafu unataka kuleta sound zako !!
 
warumi

Hahahahaaa wazee huwa hawatongozi, ni kutolewa dinner tu na mshiko basi kamaliza.
Msiniulize nimejuaje jama nimewahi kuhadithiwa sound za wazee kama machache zilivyo.

Ukiachilia mbali tofauti za kambi zetu, mtoto kichwani upo vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom