Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Yeye mwenyewe amewekeza kwenye nini cha kumfanya awe mleta hela na si mtumia hela? Ama ndiyo ugomvi na kina Regina ndiyo utaanzia hapo?Du hawezi kumsahau mzee Mengi, kupelekwa Paris na Dubai shopping.
Mkuu believe huyu atakuchukuliwa na mabosire wengine wenye pesaMzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.
Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.
Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.
Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.
Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.
Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.
Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
Nyie binadamu mwcheni dada wa watu ..mnatafuta laana kwa kila namna..embu muacheni amzike mume wake hamna hayaDu hawezi kumsahau mzee Mengi, kupelekwa Paris na Dubai shopping.
Yeye mwenyewe amewekeza kwenye nini cha kumfanya awe mleta hela na si mtumia hela? Ama ndiyo ugomvi na kina Regina ndiyo utaanzia hapo?
Kwani tumemshika mkuu, aliishi maisha ya insta kutujuza life yake. Haya tungeyajuaje?Nyie binadamu mwcheni dada wa watu ..mnatafuta laana kwa kila namna..embu muacheni amzike mume wake hamna haya
Ulimwengu ndivyo ulivyo!!Nyie binadamu mwcheni dada wa watu ..
Atatafuta Bwana Mwingine,waendeleze alivyorithi.Mzee Reginald Mengi ndiyo keshaondoka duniani na Mke wake Jacqueline Ntuyabaliwe kabakia kutunza familia yao.
Kwa kufuatilia Maisha yake baada ya kuolewa na Mzee Mengi nimebaki na swali kama Jacqueline ataweza kutunza hali ya ufanyabiashara na matumizi ya Fursa aliyokuwa nayo Mzee Mengi.
Hapa ndipo tutaona zaidi ya Uzuri wa kimaumbile wasichana warembo wa Tanzania wana nini kingine cha ziada. Kama matumizi yakizidi mapato basi si muda Magazeti ya udaku ndiyo yatakuwa chanzo cha Mapato kwa Jacqueline.
Maisha baada ya Kifo cha Mzee Mengi ndiyo yatatoa picha halisi kama Jacqueline ni mtu wa kula bata ama ni mtafutaji maisha!!
Hapa ndipo napata shida. Nakumbuka enzi za Wema Sepetu na nyumba yake yenye vitu vya thamani ya shilingi milioni 100. hatujui nini kilitokea kwa ile nyumba na vile vitu.Atatafuta Bwana Mwingine,waendeleze alivyorithi.
Ulimwengu ndivyo ulivyo!!
Kwa pesa aliyonayo wala hahitaji bwana mwenye ukwasi,sasa anahitaji Bwana mwenye vision na mwenye akili ili kuendeleza walichoachiwa. Sasa apunguze kuspend. Maana mtu anaetafuta pesa hawezi kutoka Zanzibar,ndani ya week anakweda tena Dubai kuspend.Hapa ndipo napata shida. Nakumbuka enzi za Wema Sepetu na nyumba yake yenye vitu vya thamani ya shilingi milioni 100. hatujui nini kilitokea kwa ile nyumba na vile vitu.
Kuna tatizo kwenye jamii yetu hasa kwa watu maarufu. Hela ya kutumia huwa inahitaji hela inayozalishwa ili maisha yabaki vile vile.
Leo watu wanamsimanga Ray C kwa kuwa yeye mwenyewe hakuwekeza. Atapata bwana mwingine jee naye atakuwa na Ukwasi kama Mzee Mengi?
Mambo ya kukogana yanawapeleka puta dada zetu. Juzi kati binti mmoja kachukua hela zake zote za mshahara na viakiba vyake kaenda Sauzi ili awakoge wapinzani wake wa Instagram na Facebook!Maana mtu anaetafuta pesa hawezi kutoka Zanzibar,ndani ya week anakweda tena Dubai kuspend.
Kwani tumezuia mazishi ama maziko?Subirini tumalize kuzika kwanza
Mmoja nilikutana nae Mlimani City analipia shopping ya nguo million 3 dada aliitoa cashMambo ya kukogana yanawapeleka puta dada zetu. Juzi kati binti mmoja kachukua hela zake zote za mshahara na viakiba vyake kaenda Sauzi ili awakoge wapinzani wake wa Instagram na Facebook!
Kwa staili hiyo ya Maisha ni lazima udange hakuna namna. Kuna wasichana wanavaa nguo za mamilioni ya shilingi lakini vichwani hawana hata mpango mmoja wa kutafuta hela zaidi ya kutegemea miili yao kama kitega uchumi.Mmoja nilikitana nae Mlimani City analipia shopping ya nguo million 3 dada aliitoa cash
Nilikua kazini, nilikutana na mama mmoja yeye ni cleaner. Alinieleza kesho yuko off, nikamuuliza umepanga kuitumiaje off yako. Alinijibu nitalala nikiamka nisafishe nyumba. Mimi nilimjibu kama jua linatoka mimi ninapenda kutembea madukani. Alinijibu yeye huenda madukani akihitaji kununua kitu. Aliendelea kuwa kama huna plan na hela uatajza mavitu wakati nyumba na gari huna.Kwa staili hiyo ya Maisha ni lazima udange hakuna namna. Kuna wasichana wanavaa nguo za mamilioni ya shilingi lakini vichwani hawana hata mpango mmoja wa kutafuta hela zaidi ya kutegemea miili yao kama kitega uchumi.