K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

Atafute maisha mara ngapi!? Yupo na mzee bilionea uhangaike na beseni kichwan ya nini!
 
Mengi hana Jeuri ya Kumuachia Klyn urithi mdogo hata kidogoo...!! Kwa wale mapacha kama Mondi amemwachia zari nyumba sasa Mengi si ataacha Mabillioni...
Usifananishe Modi na Mengi. Hawa ni watu wawili tofauti sana. Kisomi na ucha Mungu. Ukumbuke kuna biti pekee kwa Mengi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mimi juzi nimefanya shopping ya nguo za 150k Imeniuma kinyama, starudia tena kufanya huo uzwazwa

Hivyo unatafuta hela kwa ajili ya nini?ninachojua mimi basic human needs ni chakula, mavazi na malazi, kutumia fedha kwa ajili ya kujipatia nguo za kijisitiri utaitaje uzwazwa?
 
unategemea mijihela yote atafanyia nini bado rambirambi,huyu dada ana nyota ya pesa,
Mzee Mengi Ana watoto wakumbwa na wenye akili sana. Familia wakikaa na Mungu mambo yatakuwa mazuri tu.Kuna mtu anaitwa Abdieli anaonekana kichwa sana
 
Mkuu believe huyu atakuchukuliwa na mabosire wengine wenye pesa

Kwa skendo alizonazo kwenye ishu Wa utata Wa kifo cha Mzee nani Wa kujichimbia kaburi Kisa waarabu,Arudi tu mtaani akaungane na Akina Lulu.
 
Back
Top Bottom