K - Lyn ni mtu wa ku -spend ama kutafuta maisha?

Usimwamini mwanamke, stay tuned , haya haya ya Adam na Eva, mahaba kama yote, ndani ya dk 0 akakuta demu kashaiuza dunia af anamchekea 😁😁😁😁....!! ndo hvo lakn hakuna namna
 
Usimwamini mwanamke, stay tuned , haya haya ya Adam na Eva, mahaba kama yote, ndani ya dk 0 akakuta demu kashaiuza dunia af anamchekea 😁😁😁😁....!! ndo hvo lakn hakuna namna
Nyie watu mna maneno hatari!!
 
Kumbuka familia ya Mengi kuna wasomi na mwanashiria wa familia. Kuna watoto wakumbwa na wadogo kuna jamaa yake iliyokuwa inamtegemea kwa maandishi. Wosia ilivyo andikwa . Sio kweli mapesa yote ni Kylin. Atakomaa sana kuzipata
Kama Huyo manzi alikuwa hajamchota mzee hela kpind cha uhai wake bas huyo demu atakuwa bonge la fala, alitakuwa mpak sa hv awe na reserve ya 50billion, badae mambo yakiwa kama hv unajikausha kama huoni, hata wakikupa shiling mia fresh tuu....
 
Kumbuka familia ya Mengi kuna wasomi na mwanashiria wa familia. Kuna watoto wakumbwa na wadogo kuna jamaa yake iliyokuwa inamtegemea kwa maandishi. Wosia ilivyo andikwa . Sio kweli mapesa yote ni Kylin. Atakomaa sana kuzipata
Mengi hana Jeuri ya Kumuachia Klyn urithi mdogo hata kidogoo...!! Kwa wale mapacha kama Mondi amemwachia zari nyumba sasa Mengi si ataacha Mabillioni...
 
Mimi nilifikiri huyo mama angesema nitatumia off yangu kwenda kuangalia mahesabu ya duka langu au nitaenda bagamoyo kuangalia shamba langu linaendeleaje.Wanawake walio wengi Huridhika na mambo madogo km nyumba na gari!
 
Well ninamheshimu kwakua akinifundisha kitu. Nyumba anayoishi ni ya kwake, Ana uhakika wa pension akistaafu. Ana amani moyoni.
 
Well ninamheshimu kwakua akinifundisha kitu. Nyumba anayoishi ni ya kwake, Ana uhakika wa pension akistaafu. Ana amani moyoni.
Hapo ndipo watu wanapokosea unafikiri mtu km Mengi angeridhika na nyumba moja, mshahara na pension yake, Leo tungekuwa tunamsifu kwa mapambio humu? Nimegundua maono ya watu wengi ni kuwa na nyumba, gari, watoto wasome English medium. Basi hapo ndipo wamemaliza. Lazima tuwe na mawazo ya kuacha alama hapa duniani. At least uwe na hata wafanyakazi 10 uliowaajiri ambao wao na familia zao wataomboleza kwenye msiba wako. Na huo uwezo Sky Eclat najua unao. Kama unadhani hauna nitafute nikuambie cha kufanya!
 
Hivyo vidole vya mikono yako vinalingana?
 
Kila mtu anatafuta fullfillment. Kuna wengine wanataka amani ya moyo na utulivu ila wengine bila pesa zaidi maisha hayajakamilika. Tunaelewana tu namna hiyo
 
Kila mtu anatafuta fullfillment. Kuna wengine wanataka amani ya moyo na utulivu ila wengine bila pesa zaidi maisha hayajakamilika. Tunaelewana tu namna hiyo
Mungu amekuweka duniani ili uweze kuathiri ulimwengu wako ,jamii inayokuzunguka, kwa njia moja au nyingine. Kama wewe ni doctor, mwalimu, mchungaji, Mkulima ,mfanyabiashara unatakiwa uache alama. Acha kuishi kuibinafsi kujifikiria wewe tu na familia yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…