Kuwa mke wa bilionea (Prized Asset) kumemletea kitu gani cha ziada, zaidi ya taharuki na fedheha ???
Mtazamo wa K-Lynn uko kwa watu wengi wa Afrika, hawaani Arts & Sports ni sehemu ya maisha (Essentials of life that can be monetized). Nakiri hata mimi binafsi hili limeniathiri kwa sehemu, tunaamini kwamba ili ufanikiwe kiuchumi na kupata heshima ni lazima uwe White Collar (A Corporate Educated Guy). AU lazima uonekane ni mfanyabiashara fulani hivi. Huu ni mtazamo finyu.....
There was more to K-Lynn than music. Her extraordinary looks were her greatest assets. Angetumia vizuri jina na vyombo vya habari (Media) vya mume wake nadhani angekuwa An INTERNATIONAL DIVA kwenye muziki na fashion. Lakini sasa dada yetu akaanza kuuza SOFA, huku akitelekeza vile vikubwa ambavyo Mungu amempa. Binafsi naamini K-Lynn angefanya biashara ya Cosmetics, Beauty Influencing and Fashion angekuwa hatari....
Anyway ni maisha yake na maamuzi yake.......