Bahati mbaya mzee Mengi hakua mwanamuziki labda angempa mkewe support kwenye hiyo industry. Pia inawezekana marrying a billionaire was more of a prized asset kwa kylin kuliko kuendelea na uimbaji.Failure to appreciate arts is a diabolical syndrome which fractures Africans' creativity and financial success..
Beyonce ni mke wa Bilionea mwenye hela kuliko Marehemu, lakini hajaacha kuimba mpaka leo....
Angetumia vizuri jina la mume wake angefika mbali kwenye tasnia ya muziki huko duniani....
Kuwa mke wa bilionea (Prized Asset) kumemletea kitu gani cha ziada, zaidi ya taharuki na fedheha ???Bahati mbaya mzee Mengi hakua mwanamuziki labda angempa mkewe support kwenye hiyo industry. Pia inawezekana marrying a billionaire was more of a prized asset kwa kylin kuliko kuendelea na uimbaji.
Ile methali ya kwenye miti hakuna wajenzi inamhusu huyu dada.Kuwa mke wa bilionea (Prized Asset) kumemletea kitu gani cha ziada, zaidi ya taharuki na fedheha ???
Mtazamo wa K-Lynn uko kwa watu wengi wa Afrika, hawaani Arts & Sports ni sehemu ya maisha (Essentials of life that can be monetized). Nakiri hata mimi binafsi hili limeniathiri kwa sehemu, tunaamini kwamba ili ufanikiwe kiuchumi na kupata heshima ni lazima uwe White Collar (A Corporate Educated Guy). AU lazima uonekane ni mfanyabiashara fulani hivi. Huu ni mtazamo finyu.....
There was more to K-Lynn than music. Her extraordinary looks were her greatest assets. Angetumia vizuri jina na vyombo vya habari (Media) vya mume wake nadhani angekuwa An INTERNATIONAL DIVA kwenye muziki na fashion. Lakini sasa dada yetu akaanza kuuza SOFA, huku akitelekeza vile vikubwa ambavyo Mungu amempa. Binafsi naamini K-Lynn angefanya biashara ya Cosmetics, Beauty Influencing and Fashion angekuwa hatari....
Anyway ni maisha yake na maamuzi yake.......
Celebrity au Socialite yoyote ili atoke ni lazima awe karibu au auzwe sana na vyombo vya habari.....Ile methali ya kwenye miti hakuna wajenzi inamhusu huyu dada.
Sure, ukiwa media bega hili na kipaji bega lile basi kutoboa ni dakika tu.Celebrity au Socialite yoyote ili atoke ni lazima awe karibu au auzwe sana na vyombo vya habari.....
IPP Media ilikuwa inamilikiwa na mume wake, fikiria kama angevitumia vile vyombo....
Angalia leo hii mambo anayofanya Diamond Platnumz kupitia wasafi media......
NB: Kama ulivyosema kwenye miti mingi hakuna wajenzi.