K wa wakazi wa dar

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
naombeni mnisaidie eti nafasi za police kwa ngazi ya diproma na degree zimetoka?? plz plz msaada wenu
 
kwa hili umebagua .hata wasiokaa dar wanaweza kukupa msaada.basi hangaika kwanza.
 
kama hujui si unyamaze sio ku create mambo weye
 
Usidhan mawazo yanatoka dar2 pole,najua lakin suffer kidogo.
 
subiri hao watakaoziona busara zako WAJE WAKUJIBU
 
Nadhani busara itumike jamani,mtoa ombi alikosea kuwauliza wa dar pekee kumbe hizo nafasi zikitoka zinatangazwa Tanzania nzima labda hajui hilo,pili ni kuhusu ukoseaji wa spelling,kumrekebisha co vibaya lakini namna ya kumrekebisha lugha zilizotumika co nzuri,tuelekezane kwa lugha laini itaeleweka na cku zijazo atajirekebisha na kuwa makini. Wanajf naomba kuwasilisha.
 
Naona junior members ndio wanaoongoza kwa pumba humu jamvini chujeni kabla ya kulonga jamani, mdau kakukosoa kwamba umeleta mada vibaya kubali badala ya kujibu utumbo....
 
Naona junior members ndio wanaoongoza kwa pumba humu jamvini chujeni kabla ya kulonga jamani, mdau kakukosoa kwamba umeleta mada vibaya kubali badala ya kujibu utumbo....

co kweli bana mbona Mndava ametema point tena kuliko wachangiaji wote humu na ni junior member, huna right ya conclude na kugroup junior members wote kisa cjui ww ni senior expert member cjui utumbo gani huko, ww ndio wa kuchuja kwanza uczingue junior members bana, kwa hilo umekosea mdau na cjataka kuwa conclusive lakini ukibisha kama hujakosea nitaconclude ulifikiri kwa masaburi.

kwa mtoa mada, vuta subira wanaofahamu watatuupdate!

mbwa kala mbwa:wacko:
 
unategemea ufahamishwa hum fanya tu jitahada zako mkuu hum wote wanywa gongo tu hawana maana

omba msamaha mkuu! kweli umefikiria ukaamua kusema hivyo! mwanzisha uzi kajifunga mwenyewe,kwa swali lake lilivyo siyo lazima mtu akae dar ndio ajue! nafikiri alikuwa na nia mzuri tu, sema matumizi ya lugha ni tatizo! kwa kifupi hizo kazi zitatoka hiv karibuni.
 
unategemea ufahamishwa hum fanya tu jitahada zako mkuu hum wote wanywa gongo tu hawana maana

tutake radhi mkuu! kweli umefikiria ukaamua kusema hivyo! mwanzisha uzi kajifunga mwenyewe,kwa swali lake lilivyo siyo lazima mtu akae dar ndio ajue! nafikiri alikuwa na nia mzuri tu, sema matumizi ya lugha ni tatizo! kwa kifupo hizo kazi zitatoka hiv karibuni.
 
sasa ww mama umekuja kufundisha spelling hum ovyoooooooooo!
Kama mnatia aibu asiwaambie? mazoea hujenga tabia. Makosa kama haya wewe utayaona madogo lakini ndiyo yanayosababisha watu wanyimwe kazi kwenye interviews. Kama unashindwa kuwa makini kwenye jambo dogo utawezaje kuwa makini kwenye jambo kubwa hapo utakapopewa kazi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…