happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
naombeni mnisaidie eti nafasi za police kwa ngazi ya diproma na degree zimetoka?? plz plz msaada wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidhan mawazo yanatoka dar2 pole,najua lakin suffer kidogo.
Sio diproma,ni diploma.
namimi nahitaji kufaham,wanaojua watufahamishe jamani.
Naona junior members ndio wanaoongoza kwa pumba humu jamvini chujeni kabla ya kulonga jamani, mdau kakukosoa kwamba umeleta mada vibaya kubali badala ya kujibu utumbo....
unategemea ufahamishwa hum fanya tu jitahada zako mkuu hum wote wanywa gongo tu hawana maana
unategemea ufahamishwa hum fanya tu jitahada zako mkuu hum wote wanywa gongo tu hawana maana
Kama mnatia aibu asiwaambie? mazoea hujenga tabia. Makosa kama haya wewe utayaona madogo lakini ndiyo yanayosababisha watu wanyimwe kazi kwenye interviews. Kama unashindwa kuwa makini kwenye jambo dogo utawezaje kuwa makini kwenye jambo kubwa hapo utakapopewa kazi?.sasa ww mama umekuja kufundisha spelling hum ovyoooooooooo!