Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ametapeli shilingi milioni hamsini wananchi mbeya mjini alifungua kituo mbeya day secondary akahidi kuwapatia watu computer kwa bei nafuu yaani sh 70000 elfu sabini hakuleta computer wala redio kakimbia mpaka naandika haya mke wake amekamatwa jijini mbeya anashiliwa na jeshi la polisi kituo cha centralWanajf, heshima kwenu.
Naomba niwajuze kuwa, kuna jamaa anamiliki computer kadhaa alizoweka shule ya msingi annex, lengo lake ni kuwafundisha walimu wa shule za msingi, cha ajabu walimu wake hawalipi mishahara na wahitimu hawapewi vyeti.