STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Usikubali kuingia kwenye Uhusiano na mtu mwenye
Tabia za Korea Kaskazini,wao muda wote wanawaza
Majaribio ya Nyuklia...Huwa hawako serious...
Leo anakwambia anakupenda, kesho
anakwambia 'My ex called me,hata sielewi nifanye
nini'. Kabla hujakaa sawa anakwambia am confused,my ex wants to marry me now halafu bado
nampenda..
Mtu asiye na msimamo hafai kwa Relationship, we
utatoa moyo wako kumbe yeye anafanya
Majaribio, Ex akirudi umetoswa...Kuwa makini na
hawa watu, mijitu ambayo haijapona maumivu ya past relationships hawafai, ukijitoa mhanga kaa mkao wa
kula au kuliwa, anything can happen anytime