Kaa mkao wa kuliwa

Kaa mkao wa kuliwa

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Usikubali kuingia kwenye Uhusiano na mtu mwenye
Tabia za Korea Kaskazini,wao muda wote wanawaza
Majaribio ya Nyuklia...Huwa hawako serious...
Leo anakwambia anakupenda, kesho
anakwambia 'My ex called me,hata sielewi nifanye
nini'. Kabla hujakaa sawa anakwambia am confused,my ex wants to marry me now halafu bado
nampenda..
Mtu asiye na msimamo hafai kwa Relationship, we
utatoa moyo wako kumbe yeye anafanya
Majaribio, Ex akirudi umetoswa...Kuwa makini na
hawa watu, mijitu ambayo haijapona maumivu ya past relationships hawafai, ukijitoa mhanga kaa mkao wa
kula au kuliwa, anything can happen anytime
 
Neno ~kuolewa~ linaashiria mwenye mpondo huu ni mwanamke, kaka tumekukosea nn etii, mbona hujasema kuoa
"Hii word war against women utashindwa wewe"
 
Neno ~kuolewa~ linaashiria mwenye mpondo huu ni mwanamke, kaka tumekukosea nn etii, mbona hujasema kuoa
"Hii word war against women utashindwa wewe"
Mnaumiza sana
 
Mapenzi hayana formular, is like kipigo apigwacho mwizi hakina formular.
Sasa wanaoteseka na wanawake ni wanaume ambao hawajawahi kuwa maplayer.
 
Kijana tafuta kazi uingize kipato hizi posts za kitoto unazoweka kila baada ya dakika mbili hazitakufikisha popote.
 
Si kila maumivu Mwanaume lijali yastahili upige kelele, hivi ikitokea ukatailiwa leo utapiga mikelele kuwa wanakata dubwana yako?
Issue ya kutahili haihusishi maumivu ya moyo! Ngoja nikwambie kitu dada AJ, siku hizi mme kua na tamaa sana, so unakuta mwanamke anawanaume wa kutosha ili kutimiziwa mahitaji yake, thus why tunalalamika, Inauma eti!
 
Wewe ukiwa na mwanamke wa hivyo si umuache? Sasa kulalamika lalamika hapa itakusaidia nn be a gentleman not just a man bwana hee nyie vipiii
 
Issue ya kutahili haihusishi maumivu ya moyo! Ngoja nikwambie kitu dada AJ, siku hizi mme kua na tamaa sana, so unakuta mwanamke anawanaume wa kutosha ili kutimiziwa mahitaji yake, thus why tunalalamika, Inauma eti!
Wanawake kuwa na wanaume wengi mnaumia Ila wanaume kuwa na wanawake wengi wanawake hawaumii? Kila jinsi inaiumiza jinsi nyingine ukikaa na wanaume wanalalamikia wanawake, wanawake pia wanalalamikia wanaume kuumizana kuna play part pande zote hivyo punguza kutoa boriti kwenye macho ya wanawake na ukasahau kutoa kibanzi kwenye macho ya wanaume
 
Back
Top Bottom