Mnaumiza sanaNeno ~kuolewa~ linaashiria mwenye mpondo huu ni mwanamke, kaka tumekukosea nn etii, mbona hujasema kuoa
"Hii word war against women utashindwa wewe"
Si kila maumivu Mwanaume lijali yastahili upige kelele, hivi ikitokea ukatailiwa leo utapiga mikelele kuwa wanakata dubwana yako?Mnaumiza sana
Issue ya kutahili haihusishi maumivu ya moyo! Ngoja nikwambie kitu dada AJ, siku hizi mme kua na tamaa sana, so unakuta mwanamke anawanaume wa kutosha ili kutimiziwa mahitaji yake, thus why tunalalamika, Inauma eti!Si kila maumivu Mwanaume lijali yastahili upige kelele, hivi ikitokea ukatailiwa leo utapiga mikelele kuwa wanakata dubwana yako?
Wewe ukiwa na mwanamke wa hivyo si umuache? Sasa kulalamika lalamika hapa itakusaidia nn be a gentleman not just a man bwana hee nyie vipiiiIssue ya kutahili haihusishi maumivu ya moyo! Ngoja nikwambie kitu dada AJ, siku hizi mme kua na tamaa sana, so unakuta mwanamke anawanaume wa kutosha ili kutimiziwa mahitaji yake, thus why tunalalamika, Inauma eti!
Wanawake kuwa na wanaume wengi mnaumia Ila wanaume kuwa na wanawake wengi wanawake hawaumii? Kila jinsi inaiumiza jinsi nyingine ukikaa na wanaume wanalalamikia wanawake, wanawake pia wanalalamikia wanaume kuumizana kuna play part pande zote hivyo punguza kutoa boriti kwenye macho ya wanawake na ukasahau kutoa kibanzi kwenye macho ya wanaumeIssue ya kutahili haihusishi maumivu ya moyo! Ngoja nikwambie kitu dada AJ, siku hizi mme kua na tamaa sana, so unakuta mwanamke anawanaume wa kutosha ili kutimiziwa mahitaji yake, thus why tunalalamika, Inauma eti!
Hivi mtu kama Madame B amepotea wapi siku hizi?Hehe stunter unawapa makavu!hivi nyie wanawake mbona hamjibu