Kaa na ujenge nami

Ni vizuri utafikisha Kwa uwezo wa Mungu...Naona msingi ni hatua kubwa sana .
 
Umepigwa mafundi wengi hawajui maana ya septic na wewe hata na sim yako umeshindwa hata ku google umepoteza pesa bure tu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Umepigwa mafundi wengi hawajui maana ya septic na wewe hata na sim yako umeshindwa hata ku google umepoteza pesa bure tu

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Inawezekana mkuu lakini from my experience as long as hayajai fresh tu maana nisingependa kuja kutapisha vyoo au kuanza kurekebisha mfumo upya. Hapo ntakuja mwaga udongo yawe level sawa na ground
 
Hongera, lakini bafo kuna kasafari karefu. Hapo kwenye kusimamisha boma ni fasta tu nyumba inaota kama uyoga, shughuli itakuja kwenye kupaua, plasta, finishing huko n.k hakuna kazi ya chini ya milioni.

Mungu akufanyie wepesi.
Yah mkuu yanapoanza kuwa maneno ya kiingereza balaa linaanza. Budget ya kupaua ninayo huko kwingine ndiko balaa
 
Hongera, itakuwa nyumba kubwa, yaani meshatumia 6.4m lakini nyumba haijasimama!
Kwa hiyo makadrio yako mpaka kumaliza boma ni bei gani?
Mawazo yangu nilikuwa nimekadiria mpaka naezeka nitatumia mls 11, lalkini sasa nadhani nitatumia mls 16 hivi. Yani hapo nitakuwa nimejenga msingi wenye mkanda, mashimo ya choo, boma, na kuezeka. si kubwa sana mkuu ina square meter 146
 
Hongera, itakuwa nyumba kubwa, yaani meshatumia 6.4m lakini nyumba haijasimama!
Kwa hiyo makadrio yako mpaka kumaliza boma ni bei gani?
Mashimo mawili yanagharimu wastani Mil 2.5, Kwaio tunaweza kusema nyumba wastani imetumia Mil 4, ni sawa tu.
 
Me nilitaka kujua gharama za ufundi ( If you don't mind).
Kujenga msingi wote
Na hayo mashimo
 
Mkuu gharama za ufundi wa msingi fundi kachukua ngap maan nataka nipige msingi raman yang ina 131m²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…