ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
Hapa sasa ilitakiwa uje na maelezo kufafanua kipi amepigwa na ilipaswa iwe vipi.Umepigwa mafundi wengi hawajui maana ya septic na wewe hata na sim yako umeshindwa hata ku google umepoteza pesa bure tu
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hongera sanaUpdate:
Leo nimeanza kunyayua nadhani kesho kutwa ntamaliza kozi 10 nisubire kufunga mkanda na kumalizia 3.
View attachment 2720003
View attachment 2720004
Mwaka huu mwezi wa tatu kwa kipato changu nikaamua kujipiga piga na mimi nianze ujenzi.
Kwanza nilianza kwa kununua tofali za msingi inch 6 kila tofali ilikuwa Tzs 1200 na nikanunua tofali 1400, kufunga mkanda nilitumia nondo 28. Tofali. Kisha tukapata na fundi ujenzi hadi kufunga mkanda wa msingi. Baada ya hapo akanishauri tujenge mashimo ya choo ili kile kifusi kitumike kwenye kujaza msingi.
Tofali zilibaki nikaongeza tena tofali 150 za inch 6 kwa ajili ya kupata tofali za kutosha kwa ajili ya kujengea mashimo. Napo zimebaki kama tofali 30 za inch 6 ambazo fundi kasema zitatumika kujengea ngazi.
Hapana ndipo nimemaliza mwaga zege shimo la mwisho. Nishaweka tofali 800 nitaongeza tofali nyingine 1000 aanze kuinua. Huku tofali za kujengea kuta ni Tzs1100 ambazo ni ngumu. Mpaka sasa ikiwemo hizo tofali 800 nishatumia milion 6.3.
View attachment 2706304View attachment 2706305View attachment 2706306
Kuweka mkanda wa msingi yaani hizo nondo ni lazima? Kwasbb kwa sehemu za kaskazini sioni wakifanya hivyo....lbd kwa ghorofamkuu mkanda wa msingi umewek nondo ngap ngapi
Sio lazima ila lenta lazimaKuweka mkanda wa msingi yaani hizo nondo ni lazima? Kwasbb kwa sehemu za kaskazini sioni wakifanya hivyo....lbd kwa ghorofa
si mchezo mkuu,ndiyo hatua niliyopo[/QUOTE]AQUOTE="Davooo, post: 47339896, member: 368546"]
Nimepaua n'a kupiga plasta(+wiringi n'a Maji)
Aiseeeee acheni Tuu
si mchezo mkuu,ndiyo hatua niliyopo
Mkuu nyumba ina sqm ngap na umetumia bati gan na rougjly kiasi gan wakat wa kupaua[/QUOTE]Hii hatua ni noma, na me ndio nimemaliza kupau, rough floor, plasta + wiring. Yani imenitakatisha
Mkuu nyumba ina sqm ngap na umetumia bati gan na rougjly kiasi gan wakat wa kupaua
Mbao je? Mkuu imekuwa cheap kweli mkuu, una kapicha ka kuezeka utupieSqm sikumbuki mkuu, ila ina vyumba vi4 master maana nataka nipangishe.
Bati nimetumia pic 80 nilienda Bati bomba kiwandani nilichukua kwa 1.8M na gharama ya Fundi nilimpa laki 4.
Mbao je? Mkuu imekuwa cheap kweli mkuu, una kapicha ka kuezeka utupie[/QUOTE]Sqm sikumbuki mkuu, ila ina vyumba vi4 master maana nataka nipangishe.
Bati nimetumia pic 80 nilienda Bati bomba kiwandani nilichukua kwa 1.8M na gharama ya Fundi nilimpa laki 4.
Dogo ni ft 8 kwenda chini upana 5 na urefu 6 kubwa kwenda chin ft 12 upana ft 10 mkuuWe jamaa mwenye uzi mbona nauliza swali unanipotezea sana mpaka pm nishakutumia ila hujibu. Swala la vipimo tu vya mashimo na gharama unashindwa kutoa ushirikiano kabisa. Na kibaya comm3nt nyingine unajibu vizuri tu. Unazingua
Shukran mkuu. Vipi gharama za kukamilisha yote ulitumia kiasi gani?Dogo ni ft 8 kwenda chini upana 5 na urefu 6 kubwa kwenda chin ft 12 uoana ft 10 mkuu
Siwez kukupa figure exactly ila ni kama milion mbili na lak nne. Ningesimamia mwenye ningesave kama lak 3 au nne maana fundi alinpga kwenye uchimbaji shimo alilosema vjana wamesema watachimba kwa laki 2.5 walilichamba kwa lak na alilosema lak na nusu walilichimba kwa buku 50.Shukran mkuu. Vipi gharama za kukamilisha yote ulitumia kiasi gani?
Asante sana kwa mwongozo. Wacha nikapambaneSiwez kukupa fugure exactly ila ni kama milion mbili na lak nne. Ningesimamia mwenye ningesave kama lak 3 au nne maana fundi alinpga kwenye uchimbaji shimo alilosema vjana wamesema watachimba kwa laki 2.5 walilichamba kwa lak na alilosema lak na nusu walilichimba kwa buku 50.
Kwingine hakupga maana nlinunua kila kitu na akajenga nipo.