Kaandika kwenye status...

Kaandika kwenye status...

WANAUME WOTE NI MBUZI...
Nikamuuliza:-
UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!??
Kani-Block...!
Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!????
� *sipendagi ujnga mm* ��
Kwa maana kwamba pamoja na babaake sisi sote ni mbuzi na tunakula majani siyo!![emoji38] [emoji38]
 
Kuna mchepuko wangu nilisitisha huduma ukaandika "huwa sifugi mbwa" sikuutafuta kama miezi mi 3 ukanitumia sms "jamani sweet mbona kimya" nikamjibu toka lini "mbwa anakuwa online"
[emoji240] Hahaahaaaa......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Teh teh teh teh 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Ata mumgu anamuona, kaachwa uyo anapenda ujinga mno•
 
WANAUME WOTE NI MBUZI...
Nikamuuliza:-
UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!??
Kani-Block...!
Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!????
� *sipendagi ujnga mm* ��
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WANAUME WOTE NI MBUZI...
Nikamuuliza:-
UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!??
Kani-Block...!
Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!????
� *sipendagi ujnga mm* ��
Labda alidhani babaake sio mwanaume[emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom