Nadhani ni hasira kweli ya kuachwa. Samehe bureAna hasira ya kuachwa huyo msamehe bure
Kwa maana kwamba pamoja na babaake sisi sote ni mbuzi na tunakula majani siyo!![emoji38] [emoji38]WANAUME WOTE NI MBUZI...
Nikamuuliza:-
UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!??
Kani-Block...!
Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!????
� *sipendagi ujnga mm* ��
Kuna mchepuko wangu nilisitisha huduma ukaandika "huwa sifugi mbwa" sikuutafuta kama miezi mi 3 ukanitumia sms "jamani sweet mbona kimya" nikamjibu toka lini "mbwa anakuwa online"Bilashaka aiseeee..[emoji13] [emoji13]
[emoji240] Hahaahaaaa......[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mchepuko wangu nilisitisha huduma ukaandika "huwa sifugi mbwa" sikuutafuta kama miezi mi 3 ukanitumia sms "jamani sweet mbona kimya" nikamjibu toka lini "mbwa anakuwa online"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WANAUME WOTE NI MBUZI...
Nikamuuliza:-
UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!??
Kani-Block...!
Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!????
� *sipendagi ujnga mm* ��
Labda alidhani babaake sio mwanaume[emoji134] [emoji134]WANAUME WOTE NI MBUZI...
Nikamuuliza:-
UMESHAMPA MAJANI BABAKO...!??
Kani-Block...!
Sasa mimi kosa langu ni nini eti...!????
� *sipendagi ujnga mm* ��
duh! hulali...? 😱Labda alidhani babaake sio mwanaume[emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana naogopa kufa..niliambiwa zamani kulala ni sawa na kufaduh! hulali...? 😱
jaribu kufanya practical uone je utakufa ama hautakufa😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana naogopa kufa..niliambiwa zamani kulala ni sawa na kufa