lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Mwenzako anakula vitamu, wewe unakesha kwenye keyboard kutabiri utumbo
Utamu upi hapo..lapulapu hilo....kizazi kama cha bata kila mtoto na babake ..unasema utamu ..mxxxxx

wivu umekujaa ndio maana unakosa usingizi.
Diamond yupo juuu....
unaandika kama vile wao ndio wa kwanza kuoana wakiwa mmoja alishafunga ndoa kabla, ndoa ya kimila tena. na pia kwani wao ni wa kwanza kuwa baba wa kambo au mtu kuwa na ex-mume?
teke ilooooo....anguka
Utamu upi hapo..lapulapu hilo....kizazi kama cha bata kila mtoto na babake ..unasema utamu ..mxxxxx
Kaka una akil mingi sana mtu kama hajakuelewa ana matatizo yake,ktk kazi za fasihi ni hv si kila kilichoandikwa au imbwa utakielewa au kinakuhusu kila kazi ya fasihi ina mtu wake iliyomlenga,so sio kila kitu unahitaji elewa usipo elewa acha kwa wengine haikuhusu.Ungejiuliza kwanini pia Bakheresa anauza Maandazi na Utajiri wake huo... Jamaa anajua Anafanya nini ili Hela Ziingie mfukoni.... Kuhusu Video Wewe ndo unatakiwa Uweke Mbali ya Watoto.
mwaa mwaaa mwaa mwaaaaa mwaaaaa mwaaaaaa mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sina cha kukupa pokea mvua ya mabusuuuu, kuwa makini na mafuriko lakinihuyu muanzisha mada anajaribu kwa kila uzi wa Diamond kumshusha ni kama anatumia jf ili watu wasome tumsahau...pole yako jaribu sana ila ndio kwanza mnampa chati now anapata 50 followers kwa insta tu kwa wiki 3 hadi leo...
kama haupendi muziki wake sikiliza wa msanii unayempenda au kaka ni wewe basi weka bidiiiiii
kwa Diamond achana nae wivu mbaya, mwenzenu anajitahidi na sie wapenda chochote kizuri tupo nae.
hongera kwa kumpa promo leo na kesho anatawala habari kwa harusi yake ya Ijumaa.
pia kumbuka sio yeye tu msanii bongo so inamaana kuna alichonacho mnachotaka ila hamkipati...mfurahie hata kesho akisamua kupumzika na kuacha kuimba kama now atakuwa ameacha jina lake kila kona yaani akifanya show tutaenda kwa sana tu...chezea mtoto tandale
kata kata uwiiiiiiii nasema nawe wimbo bombaaaaaaaaa eeehhhhh
Diamond si amejiunga na ACT ya Zitto kabwe.