lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Diamond kaingia kwenye taarabu, kaimba wimbo wa NASEMA WAO na Hadija Kopa, ni full taarabu yaani anaimba taarabu? My god! Inayofuata ataanza kuimba Vigodoro na Michiriku.
Hii video haifai kuangaliwa mbele ya watoto wa familia ni aibu, hakuna maadili kabisa!