Kaazi kweli kweli

mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki . saa nyingine
ndoa hazina faida kwakweli..

Ndoa zina faida bana, especially ukiolewa na RAIS. Hawezi kukupiga, atakua anakupet pet tu.
 
Halafu hii wanawake wanaipenda kweli sijui kwa nini,unasikia fulani ananiibia mume wangu,hapo mume anaachwa vita inakuwa kati ya mke na huyo anayechit na mume.

Oh yeah...baadhi ndo zao hizo.
 
Wewe unaona sio tatizo sababu ya definition yako ya ndoa na nini unatafsiri kama usaliti katika ndoa infertility haipo.

Hujawahi ona ndoa imevunjika sababu mwenza mmoja hana uwezo wa kuzaa?

Tena ndugu wanakuletea mke mwingine na asiyezaa anarudishwa home na wala hata yeye halalamiki sababu anajua haja-meet priority za ndoa yake.
Huwezi linganisha ukosefu wa kuzaa na kucheat.
Wengi hawapangi kushindwa kuzaa wakati cheaters wote wanapanga kucheat. Kutokuzaa hakumshushii mwenzi heshima , kucheat kunaondoa kabisa.
 

Sijasema sio tatizo bali sio kitu ambacho watu wanapanga japo wachache hua wanajitakia, ni tatizo ambalo mtu anakua hata hajui kwamba alikua nalo.
 
Well kama sikuelewa vizuri maelezo yako hapo chini naomba unieleweshe.

ooh yeah maelezo yangu yako clear kama ukipenda kuyaelewa kabisa Lizzy.....
 
Ndoa zina faida bana, especially ukiolewa na RAIS. Hawezi kukupiga, atakua anakupet pet tu.

Na we bwana , utapanda sana kichwa akijua unamuongelea yeye acha bana hivyo...
Halafu unanikatisha maini hata ku m date watu wa namna ile eti. unamsakama sana bana lohhh
 
Hahahaha sio RAIS huyo anaeheshimiwa kila kona na wabeba box, kuna mwingine asiye na utawala ila bado ni RAIS.

Geez louise! Thanks for bursting my bubble lol.
 
Na we bwana , utapanda sana kichwa akijua unamuongelea yeye acha bana hivyo...
Halafu unanikatisha maini hata ku m date watu wa namna ile eti. unamsakama sana bana lohhh
Hahaha. Haya basi let me leave your. . . . . alone. Sitaki uchukie na nimeshaona dalili.
 
As bad as it may sound, I kinda agree with you.

ni hukohuko kwa wabeba boksi wenzako? Humu tuliambiwa na.....simkumbuki..ye alisema mwanamke hana shida sana akigundua anacheatiwa..kwani yeye haendi mbali,haohao shemeji zake[rafiki za mumewe]
 
Hahaha. Haya basi let me leave your. . . . . alone. Sitaki uchukie na nimeshaona dalili.

Ndo maana nakupenda kidonchoooo
ngoja niwaache we NN mi huyo ..
Naenda kutoa lecture za "Tampons"..
 
Huwezi linganisha ukosefu wa kuzaa na kucheat.
Wengi hawapangi kushindwa kuzaa wakati cheaters wote wanapanga kucheat. Kutokuzaa hakumshushii mwenzi heshima , kucheat kunaondoa kabisa.


Lizzy, I gues Kongosho anafikiria katika context tofauti kabisa na unayotuambia hapa

Amesema inategemea na makuzi kwa mfano mtu aliyolelewa, anachukuliaje suala la kumega nje

Niharakishe tu kusema kuwa mtu anaweza kupanga kutokuzaa, hasa kama amefanya vitendo hatarishi kama kutoa mimba nk,

Lakini pia, sio kweli kwamba cheaters wote wanapanga kucheat,,,....na hapo bold, inategeam unaishi kwenye jamii ya namna gani!
 
Ndo maana nakupenda kidonchoooo
ngoja niwaache we NN mi huyo ..
Naenda kutoa lecture za "Tampons"..
I know, I know.

Nimechungulia pale nikatoka haraka, embu hamieni kwa akubwa bana.
 

Hahahaha sio wanapanga bana ila wanakua wamesababisha wenyewe bila kufikiria madhara yanayoweza kujitokeza huko mbeleni. Hiyo bold mimi kama mimi, bila kujali jamii inayonizunguka nachukulia mtu anaetoka nje ya mahusiano yake kua hamheshimu mwenzi wake. Kwasababu kucheat kunamzalilisha mwenzi huko nje kwa hao/huyo anaecheat nae pamoja na wale wanaojua kinachoendelea wakati yeye hajui.

Embu niambie wanaocheat ilhali hawakupanga ndio wanakuaje? Wamelewa au wameleweshwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…