Kaazi kweli kweli

hahahahahahahahahahah lol
uwiiiii we Doto wewe ndo nini kunivunja
mbavu asubuhi hii loohh nimechekaa kweli ..

Hahahaha habari ndio hiyo.
Yani nikifikiria tu mwili unasisimka.
 
....huyu kamtandika mkewe kuua sooo, matokeo yake hili skendeli limesambaa kote kwenye utandawazi!
 

Nakubaliana na wewe mkuu,

Makuzi yanachangia sana mitazamo yetu katika mambo mengi likiwemo na hili la infidelity......Kuna wengine tumekulia katika mazingira ambayo cheating ni jambo la kawaida tu....It's like everyone poops anyway!!!

Ndiyo maana bila kujali mambo yangu binafsi, naseme mtu anayehisi hawezi kuacha kucheat, basi afanye hivyo responsibly!!

Kitendo cha huyu baba kinakera sana na kinatakiwa kulaaniwa na wapenda ndoa wote.....

Kaacha gari yake nje ya Guest house (hajali kama watu watajua yuko humo au la), analala huko na mwisho anamkung'uta mke wake kama mpira wa matambara!!....Huyu amekubuhu na hafai tena kuitwa mume!!
 
Za asubuhi kaka?

Kwa kusema "afanye hivyo responsively" una maana gani?

Ndugu yangu kanisaidia hapo chini,

Nawashauri walioshindwa wachukua hatua mathubuti kutowaumiza wenzao kwa matendo yao ambayo wao pia wanajua kuwa si sawa (to be responsible)!!

Hizi lugha za watu kaka.....!!

hahah comrade, nadhani mkuu DC alimaanisha responsibly, itakuwa typo tu

Ahsante sana mkuu......

Wapiga mbizi lazima wajue jinsi ya kuokoana....Wakisubiri watu kutoka pwani watafika saa ngapi??

Ubarikiwe sana!!

Hata mimi nadhani ni hivyo lakini nimeuliza kwa sababu hata jana kuna sehemu aliandika hivyo.

Ni matatizo ya huu uzee kaka...Nitafuatilia ili nisahihishe kwani nimehisi kama nimechakachua vya kutosha!!

Imenikumbusha jamaa yangu aliyekuwa anajibu maswali ya DS (development studies) akaandika ERECTION badala ya ELECTION!!...

Kidogo Prof. apandishe mashetani...Lol!!
 
Imenikumbusha jamaa yangu aliyekuwa anajibu maswali ya DS (development studies) akaandika ERECTION badala ya ELECTION!!...

Kidogo Prof. apandishe mashetani...Lol!!

Itakuwa huyo Prof. Alikuwa na tatizo la ERECTION lazima lol

Mkuu DC pamoja saaana mkuu..

Hapa tunamsubiri Lizzy na Kongosho waje....sijui waaamke...whatever
 
Itakuwa huyo Prof. Alikuwa na tatizo la ERECTION lazima lol

Mkuu DC pamoja saaana mkuu..

Hapa tunamsubiri Lizzy na Kongosho waje....sijui waaamke...whatever

Mi nimechoka na haya mambo. . . nachukua mapumziko ya muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…