Kabaang ya tigo

Kabaang ya tigo

MJIMPYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
506
Reaction score
272
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha wateja mnapotangaza kuwa ni dk300 kwenda mitandao yote.
TCRA Mnasemaje hii ni sawa

Kabaaaaaaaaaaaaanga!!
 
hivi ulikuwa hujui kama ni kabangiiiiiiiiiiiiiii?
 
juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha wateja mnapotangaza kuwa ni dk300 kwenda mitandao yote.
Tcra mnasemaje hii ni sawa

kabaaaaaaaaaaaaanga!!

jiunge ttcl, unachajiwa kiukweli
 
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha wateja mnapotangaza kuwa ni dk300 kwenda mitandao yote.
TCRA Mnasemaje hii ni sawa

Kabaaaaaaaaaaaaanga!!

Washenzi sana hawa....hata ile mega extreme yao ilikua siku 4 ghafla nkashangaa wamebadilisha ikawa siku 2 kwa kiasi kile kile wanacho charge. Utapeli utapeli tu. Airtel ndio mpango mzma.
 
tigo wahuni. wajanja wajanja. jiunge na wajanja wa mjini. mia
 
..Hivi kuna watu bado hawajahamia Airtel?!
 
]Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha wateja mnapotangaza kuwa ni dk300 kwenda mitandao yote.
TCRA Mnasemaje hii ni sawa

Makampuni mengi ya biashara nchini, hasa ya simu hayako wazi (wanadanganya au kuhadaa wateja wao); mara nyingi kama sio zote hawaweki wazi au kueleza "Masharti na Vigezo kuzingatiwa".
Nashauri, kabla ya kuingia kwenye huduma zao waombe wakueleze haya "Masharti na Vigezo kuzingatiwa" kimaandishi ndio uingie. Ikiwa vinginevyo, nenda mbele mamlaka ya mawasiliano
 
Back
Top Bottom