MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 272
Juzi nimejiunga nikakuta kumbe zile dk 300 si kwa mitandao yote kama wanavyotangaza. Ukishajiunga unaambiwa dk150 ni tigo/tigo tu, na zilizobaki 150 ndo za mitandao mingine.
Hii ni kupotosha wateja mnapotangaza kuwa ni dk300 kwenda mitandao yote.
TCRA Mnasemaje hii ni sawa
Kabaaaaaaaaaaaaanga!!
Hii ni kupotosha wateja mnapotangaza kuwa ni dk300 kwenda mitandao yote.
TCRA Mnasemaje hii ni sawa
Kabaaaaaaaaaaaaanga!!