Kababaye Mwanaume ndiii

Kababaye Mwanaume ndiii

Duh....mkuu....ulisoma Meru...Naura...Uhuru....Kaloleni au Ngarenaro......?......
Alikua arusha nzima, arusha school, marombosso, kijenge pr, naasha, olorieni yani huyu jamaa alikamata
 
DAH WATU WANAKUMBUKUMBU MPAKA HAMISI NYALOO
 
Basi ulikuaga chalii sana mkuu, maana sisi mazingaombwe tulilipa shilingi 20
 
Mbna watu wanasema amekufa , au kapanda chati anapiga show international saivi
Cjajua kwa sasa ila mwaka jana nlimuona nairobi tukaslimiana alikua na jamaa mmoja wa uganda naye pia tunafahamiana.
 
Back
Top Bottom