Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Habari, leo tupike kidogo kababu za nyama ya mbuzi
MAHITAJI
• Nyama ya mbuzi nusu kilo
• Dania 1iliokatwakatwa
• Kitunguu saumu pamoja na tangawizi vijiko 2 vya chai
• Garam masala(dawa ya pilau ya unga)
• Vitunguu majivilivyokatwa katwa 2
• Vijiko 2 vya chai
• Pilipili mbichi 2 uliopondwa ukipenda muasho (sio lazima)
• Breadcrumbs nusu kikombe
• Kiazi 1 kikubwa kilichochemshwa
• Curry powder kijiko cha chai
• Mafuta ya uto ya kuukaangia lita 1
NAMNA YA KUTAYARISHA
• Weka nyama ya mbuzi ,kitunguu maji,kitunguu saumu dania ,curry powder na limau kamulia ndani na ubandike motoni ukoroge vizuri hadi ikauke na kuiva kiasi cha dakika 5 hivi
• Epua wacha ipoe…na baadae weka nyama yako kwa mixer usage ,unaweza kutumia kinu kuiponda iwapo huna mixer .
• Weka kwa bakuli na uongezee yale mayai 2 pamoja na breadcrumbs changanya vizuri hadi vichanganyike. Sasa teka mchanganyiko wako kidogo kwa mkono utengeneze shape utakayo unaweza kutengeneza shape ya round au ya oval .
• Bandika karai motoni mimina mafuta yakishapata moto anza kuchoma kababu zako huku ukigeuza upande wa pili hadi ziwe golden brown .
• Andaa mezani kwa limau au chatni na chai au kwa juice baridi uipendayo.