Kabati la makombe Simba SC

Kabati la makombe Simba SC

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo

1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua

2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA

3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga

4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi

KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
 
SIMBA DAY CUP!!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo

1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua

2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA

3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga

4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi

KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
MO Arena Cup
 
Busara ilikuwa ni kutaja makombe yaliyopo pale Utopolo ambayo Simba hana. Simple.
 
Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo

1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua

2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA

3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga

4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi

KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
Kuna Kombe moja hujalitaja! Na hilo kombe aliliandaa yeye mwenyewe, na mwisho wa siku mshindi akawa yeye mwenyewe. 😫😫

Nakumbuka alivialika vilabu vya Tp Mazembe, El Merreikh na El Hilal za Sudan, na timu gani sijui ile! Ule mwaka jana! Simba bhana! 😁😁
 
Akili za Kikolo

BB701CC2-51EF-4755-83C4-C26CAB8A6E45.jpeg
 
Kuna Kombe moja hujalitaja! Na hilo kombe aliliandaa yeye mwenyewe, na mwisho wa siku mshindi akawa yeye mwenyewe. [emoji31][emoji31]

Nakumbuka alivialika vilabu vya Tp Mazembe, El Merreikh na El Hilal za Sudan, na timu gani sijui ile! Ule mwaka jana! Simba bhana! [emoji16][emoji16]
Kombe linaitwa MO Arena Cup
 
Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo

1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua

2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA

3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga

4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi

KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
Kagame cup ya CECAFA
 
Back
Top Bottom