Kabati la makombe Simba SC

Kabati la makombe Simba SC

Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo

1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua

2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan Africa, kmkm, maji maji, African sports, Malindi, Pamba, azam PIA WAMECHUKUA

3.KOMBE LA Mapinduzi KAMA Mtibwa, azam, Yanga

4. KOMBE LA FA Cup kama Yanga, Azam
5. NGAO YA JAMII ambayo mpaka sasa YANGA ndo bingwa mtetezi

KAMA kuna kombe lolote la AFRIKA simba kachukua labda nimelisahau mnikumbushe hapa, mi naona vikombe vyetu vinafanana hivi hivi vya hapa hapa ZINGINE MBWEMBWE TU.
MTANI JEMBE
 
Tuna kombe la kushiriki club bingwa Africa ambalo Yanga hawajashiriki kwa miaka 24.
 
Back
Top Bottom