Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

Hiyo ya tiny penis mambo ya kibamia teh teh teh tehπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwenye mambo ya nguo katumwa huyu na mganga wake
 
Hata mimi nahitaji ndumba zao..Ukizipata ni PM mkuu nimechoka za kwetu ni mateso tu
 
Huyu mark mzembe tu mtu Ana pesa anashindwa nn kuajili mafashonista Hata wawili yy akutage nguo ziko tayar..
Mganga wake ndo namwambia avaage hivyo
mkuu europe+usa hakuna huo uganga wenu.
 
Huyo mke hata BUREEEE simtaki... si mrembo kabisaaaaa... ila wazungu ndivyo walivyo, hawajui kabisa kuchagua mke... mwanaume wa kizungu akishapigwa ORAL ya nguvu na kapewa tigo na mwanamake basi anatangaza NDOA.... hata awe kiziwi... maana huyu mke wa Mark mm hata BURE SIMTAKI... si mrembo hata kidogo.. Hivi mchina kweli anavutia kuoa..? OMG... Kweli kila mtu duniani ana bahati yake...
 
Hapo ndo inapokuja tofauti ya mzungu na mwafrica, Mzungu especially alie makini consideration yake kubwa ni BRAIN mtu ambae watacopy together na kushare dreams kwa pamoja pia wanaconsider a HEART- how real you are. Urembo kwao ni extra reason.
 
Muangalie bilgates sasa anavyo vaa utashangaa
 
Kuna kipindi nilisikia jamaa ni kaka poa a.k.a shooog
 
Huyu mark mzembe tu mtu Ana pesa anashindwa nn kuajili mafashonista Hata wawili yy akutage nguo ziko tayar..
Mganga wake ndo namwambia avaage hivyo
hakun watu bahil kam hwa wanawaz kushika no za utajir tu
 
Masharti ya mganga lazima yazingatiwe
 
na Pengine kamuiga Mr.Warren Buffet.....Huyu mzee lifestyle yake ni ya kipekee sana..
Mimi Buffet alinifurahisha tu na Jaguar lake la mwaka 1970 huko ndio favorite Car yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…