Salamanders
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 365
- 202
Wabongo mnawaza uchawi tu.Ndiyo masharti aliyopewa hayo, akikiuka tu, utona kesho facebook haipo hewani, mara anadaiwa madeni kibao, mara kafilisika...
Mkuu hizo ni Akili za Wacongo man sio sisi Wandengereko.hhilo labda ni moja tena mahali maalum kati ya 100'
aliyonayo ama lah, kuna watu kuvaa sio ishu kwao maana miafrika inaonaga kuvaa ndio jambo la muhimu kuliko kupata hiyo hela ya kukuwezesha kuvaa😱😱😱😱
UwongoInasemekana mke wake ni mtoto wa Jack Chan kuna ukweli wowote?
Acha uongo Jackie chan si baba yake.Unauliza Maparachichi Upareni?
Unazmika kwa mavazi tu[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Hizo tishet nazipenda balaa,flan Hua anazifaa Hua nazmika kabisa njisi inavyofiti mwili
Wabongo mnawaza uchawi tu.
Hawa watu wanafanya haya mambo kwa namna ambayo wewe utaona kawaida... Lakini nyuma ya pazia kuna mambo makubwa yamejificha... Ni makubaliano tu kati ya waliyo kwenye system (GodFarthers) na wewe...Km kweli vile ila siamini
Wewe kumbe unaielewa hii Dunia inavyokwenda!
Wewe hujiulizi ni kwa nini wanapenda kushi maisha ya pekee yasiyo na marafiki, kama ni club wanazo zao, kama ni bar wanazo zao, kama ni sehemu za starehe watajikusanya wao... wapo radhi wanunue mtaa mzima ili waishi peke yao...
kwa akili kama zako ndo maana watoto wengi wa wenye mali sana wanakuwa vilaza mnooo ila wenzetu watoto wao wanakuwa na upeo zaidi ya wazazi wao.asilimia kubwa ya ubongo wa mtoto unarithiwa toka kwa mama si kwa baba hivyo huoa mwanamke mwenye brain kwa ajili ya future ya kizazi chake.We ushakuwa bilionea unataka mwanamke mwenye brain ya kaz gan? Ye brain si tayar anayo mpaka katengeneza mapesa mengi inatosha cha msingi ni kuwa na mke mkali nafsi iburudike
Kumbe anamiliki mtoto mkali..chotara
huyu demu wake ni mchina amaaaaa?
naomba moja basiHizo tishet nazipenda balaa,flan Hua anazifaa Hua nazmika kabisa njisi inavyofiti mwili
Kwahyo Kwa mawazo yako biashara za huyu mark zinasimama sababu ya brain ya mkewe pia?hizo ni issue zinazotusumbua sisi wenye biashara au pesa za mawazo ambazo hata mke akiwa mtumiaji kidogo wa pesa zinatetereka ndio maana tunalazimika kuchagua wanawake wenye akili,chunguza pia matajiri wengi wetu wa huku waliooa Kwa kuzingatia akili ya mwnamke zaidi baada ya kuimalika kipesa wengi wao walitafuta michepuko au wake wa pili warembo,chunguza maisha ya mabilionea wengi waliooa wakiwa na pesa zao wake zao au mademu zao sio wenye akili,wengi wamechagua warembo bas inatosha,biashara kubwa kama za kina mark mke mara nyingi hausiki na namna zinavyoendeshwa Kuna watu wanafanya hyo kaz kumsaidia Tajiri husika,na kuhusu hisia zako kwamba sijaoa ur wrong nimeoa,Achague mjinga ili afirisike! Mtu anapooa anahitaji msaidizi na sio mtu wa kumpa headache! Biashara zimsumbue kichwa mke pia amsumbue kichwa kusubiri kumuongoza kila kitu eti kisa tu alitaka mrembo!! ( Ndoa ni changamoto, yaweza kukuangusha na kukuhamisha mahali ulipo pia ndoa yaweza kukuinua na kubadili maisha yako) mtu mwenye feature hawezi tanguliza urembo kama kipaumbele ila atachagua mwenye feature mwenzake
Bila shaka wewe utakuwa hujaoa.
kwa imani hizo kila mtu utamuita mchawi
coincidentHii idea nilishawahi ionaa kwenye movie flani ya zamani sana inaitwa FLY kuna professor humo ndani anavaa suti na viatu vyote vya rangi sawa reason yake nae ilikua hiyo hiyo kwamba asiangaike asubui kuwaza avae nini.I think thats where Mark got the idea
Mkuu huyu ni zaidi ya mke kwa Mark. Na ninaamini angekuwa zaidi ya mke kwa kila mwanaume ambaye angekuwa naye. Mahusiano ya Mark na huyu dada yameanza wakiwa Chuo cha Havard (Remember, Havard University!), bidada ni Mwalimu by Professional na inasemekana ni KICHWA balaa! Sasa hata kama ingekuwa mimi mkuu, nihangaike na akina "Mwajuma Ndala Ndefu" kila siku vizinga wakati yupo msichana descent almost katika kila sekta. Uzuri wa mwanamke unaanzia kichwani.
Matajiri Wapiga deal ndo huwa wanataka wanawake warembo na sio mwanaume makiniKwahyo Kwa mawazo yako biashara za huyu mark zinasimama sababu ya brain ya mkewe pia?hizo ni issue zinazotusumbua sisi wenye biashara au pesa za mawazo ambazo hata mke akiwa mtumiaji kidogo wa pesa zinatetereka ndio maana tunalazimika kuchagua wanawake wenye akili,chunguza pia matajiri wengi wetu wa huku waliooa Kwa kuzingatia akili ya mwnamke zaidi baada ya kuimalika kipesa wengi wao walitafuta michepuko au wake wa pili warembo,chunguza maisha ya mabilionea wengi waliooa wakiwa na pesa zao wake zao au mademu zao sio wenye akili,wengi wamechagua warembo bas inatosha,biashara kubwa kama za kina mark mke mara nyingi hausiki na namna zinavyoendeshwa Kuna watu wanafanya hyo kaz kumsaidia Tajiri husika,na kuhusu hisia zako kwamba sijaoa ur wrong nimeoa,