Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

Huyo ana make money Za kutosha na uhakika wa kutanua milele lkn hapa bongo usipovaa vzr hata kutapeli huwezi. Jamaa mmoja alisema eti sifai kupandishwa cheo coz navaa simple sana, mashati slim fit hataki lkn kwenye kazi kazi ngumu Za kitaalam nawafanyia wengine wanakimbia
 
hhilo labda ni moja tena mahali maalum kati ya 100'
aliyonayo ama lah, kuna watu kuvaa sio ishu kwao maana miafrika inaonaga kuvaa ndio jambo la muhimu kuliko kupata hiyo hela ya kukuwezesha kuvaa😱😱😱😱
Mkuu hizo ni Akili za Wacongo man sio sisi Wandengereko.
 
Tunaomba mtuwekee na kabati la Mh Maxence Melo tafadhali!! barafu cc mshana jr
kabati+la+nguo.jpg
ya melo hii
 
Ukiwa na mapesa mengi unaweza ishi laifu staili kama hizo, lakini kama huna pesa au pesa yako ni ya mboga, wewe piga pamba kikweli angalau uweke heshima mtaani, tena usivae nguo za bei ndogo, piga viatu vya kuanzia sabini elefu kwenda juu, mashati yasiwe chini ya elfu hamsini, suruali sio chini ya elfu hamsini. Kamwe usitembee kwa mguu hata kama ofisini na nyumbani kuna umbali wa block 5,
 
Wabongo mnawaza uchawi tu.

Uchwai umeanza kwa wazungu... Na matajiri wakubwa au wale waliofanikiwa kwa hali ya juu huko ulaya wengi ni waumini wa haya mambo... Sema wanayafanya katika hali ambayo wewe utaona kawaida tu...
 
Km kweli vile ila siamini
Hawa watu wanafanya haya mambo kwa namna ambayo wewe utaona kawaida... Lakini nyuma ya pazia kuna mambo makubwa yamejificha... Ni makubaliano tu kati ya waliyo kwenye system (GodFarthers) na wewe...
 
Wewe kumbe unaielewa hii Dunia inavyokwenda!

Wewe hujiulizi ni kwa nini wanapenda kushi maisha ya pekee yasiyo na marafiki, kama ni club wanazo zao, kama ni bar wanazo zao, kama ni sehemu za starehe watajikusanya wao... wapo radhi wanunue mtaa mzima ili waishi peke yao...
 
kwa imani hizo kila mtu utamuita mchawi
 
We ushakuwa bilionea unataka mwanamke mwenye brain ya kaz gan? Ye brain si tayar anayo mpaka katengeneza mapesa mengi inatosha cha msingi ni kuwa na mke mkali nafsi iburudike
kwa akili kama zako ndo maana watoto wengi wa wenye mali sana wanakuwa vilaza mnooo ila wenzetu watoto wao wanakuwa na upeo zaidi ya wazazi wao.asilimia kubwa ya ubongo wa mtoto unarithiwa toka kwa mama si kwa baba hivyo huoa mwanamke mwenye brain kwa ajili ya future ya kizazi chake.
 
Achague mjinga ili afirisike! Mtu anapooa anahitaji msaidizi na sio mtu wa kumpa headache! Biashara zimsumbue kichwa mke pia amsumbue kichwa kusubiri kumuongoza kila kitu eti kisa tu alitaka mrembo!! ( Ndoa ni changamoto, yaweza kukuangusha na kukuhamisha mahali ulipo pia ndoa yaweza kukuinua na kubadili maisha yako) mtu mwenye feature hawezi tanguliza urembo kama kipaumbele ila atachagua mwenye feature mwenzake
Bila shaka wewe utakuwa hujaoa.
Kwahyo Kwa mawazo yako biashara za huyu mark zinasimama sababu ya brain ya mkewe pia?hizo ni issue zinazotusumbua sisi wenye biashara au pesa za mawazo ambazo hata mke akiwa mtumiaji kidogo wa pesa zinatetereka ndio maana tunalazimika kuchagua wanawake wenye akili,chunguza pia matajiri wengi wetu wa huku waliooa Kwa kuzingatia akili ya mwnamke zaidi baada ya kuimalika kipesa wengi wao walitafuta michepuko au wake wa pili warembo,chunguza maisha ya mabilionea wengi waliooa wakiwa na pesa zao wake zao au mademu zao sio wenye akili,wengi wamechagua warembo bas inatosha,biashara kubwa kama za kina mark mke mara nyingi hausiki na namna zinavyoendeshwa Kuna watu wanafanya hyo kaz kumsaidia Tajiri husika,na kuhusu hisia zako kwamba sijaoa ur wrong nimeoa,
 
Hii idea nilishawahi ionaa kwenye movie flani ya zamani sana inaitwa FLY kuna professor humo ndani anavaa suti na viatu vyote vya rangi sawa reason yake nae ilikua hiyo hiyo kwamba asiangaike asubui kuwaza avae nini.I think thats where Mark got the idea
coincident

hata mimi nina idea hii, ila wataanza kukusema mashekh, wachungaji, mkeo, wakwe, wazazi, wafanyakazi wenzako mpaka wauza mitumba!!

jamii yetu haiuruhusu kujifanya wa tofauti kiviiiile
 
Mkuu huyu ni zaidi ya mke kwa Mark. Na ninaamini angekuwa zaidi ya mke kwa kila mwanaume ambaye angekuwa naye. Mahusiano ya Mark na huyu dada yameanza wakiwa Chuo cha Havard (Remember, Havard University!), bidada ni Mwalimu by Professional na inasemekana ni KICHWA balaa! Sasa hata kama ingekuwa mimi mkuu, nihangaike na akina "Mwajuma Ndala Ndefu" kila siku vizinga wakati yupo msichana descent almost katika kila sekta. Uzuri wa mwanamke unaanzia kichwani.
f8453d52cbf96d9c633d950b97f1fa6c.jpg

Mm to be honest kabisa, sitaki unafiki, kwa mwanamke naangalia UMBO aiseee.. kichwa baadae, naweza kum tune akawa na mind nzuri ya kutosha, ila UMBO FIRST, niwe muwazi tu, sbb kama ni kichwa mm ninacho cha kutosha na ziada.. My first thing kwa mwanamke ni UMBO KALI, awe mweupeee, ta.ko ta.ko, ndio hivyo yaani, kisha kichwa baadae sana..
 
Kwahyo Kwa mawazo yako biashara za huyu mark zinasimama sababu ya brain ya mkewe pia?hizo ni issue zinazotusumbua sisi wenye biashara au pesa za mawazo ambazo hata mke akiwa mtumiaji kidogo wa pesa zinatetereka ndio maana tunalazimika kuchagua wanawake wenye akili,chunguza pia matajiri wengi wetu wa huku waliooa Kwa kuzingatia akili ya mwnamke zaidi baada ya kuimalika kipesa wengi wao walitafuta michepuko au wake wa pili warembo,chunguza maisha ya mabilionea wengi waliooa wakiwa na pesa zao wake zao au mademu zao sio wenye akili,wengi wamechagua warembo bas inatosha,biashara kubwa kama za kina mark mke mara nyingi hausiki na namna zinavyoendeshwa Kuna watu wanafanya hyo kaz kumsaidia Tajiri husika,na kuhusu hisia zako kwamba sijaoa ur wrong nimeoa,
Matajiri Wapiga deal ndo huwa wanataka wanawake warembo na sio mwanaume makini
 
Back
Top Bottom