Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

Yani kuna watu hela haiwazuzui. Na maisha ya kifahari hayawavutii hata kama wanayaweza. Ni lifestyle tu ya mtu.
Mara nyingi ni raisi kuwa simple ukiwa nazo hzo pesa Kwa wingi Kwa kuwa Hakuna kigen kwako na hauna cha kuprove Kwa yoyote coz wote wanajua we Tajiri,ila sisi wa pesa za mawazo lazma tufaidi pesa zetu na wengine wajue tunazo kah
 
Hapo ndo inapokuja tofauti ya mzungu na mwafrica, Mzungu especially alie makini consideration yake kubwa ni BRAIN mtu ambae watacopy together na kushare dreams kwa pamoja pia wanaconsider a HEART- how real you are. Urembo kwao ni extra reason.
We ushakuwa bilionea unataka mwanamke mwenye brain ya kaz gan? Ye brain si tayar anayo mpaka katengeneza mapesa mengi inatosha cha msingi ni kuwa na mke mkali nafsi iburudike
 
Hata Mzee Warioba ana tumia style hiyo hiyo kwenye mashati
Mimi pia, nagombaba sana na wife. Huwa nanunua shati na suruali za kufanana anashangaa. Naona headache kutafuta nguo nikizikuta hapo hapo. Ila mi sio billionea.
 
Unaweza ukawa na hela na bado ukawa mshamba tu,hata bomgo wapo wa dizaini hyo,na kila mtu anauhuru wa kuishi lifestyle anayoitaka hata kama ya kishamba,mi siwezi nkawa na hela alafu nisivae vizuri,sasa hizo pesa namtaftia nani.
 
We ushakuwa bilionea unataka mwanamke mwenye brain ya kaz gan? Ye brain si tayar anayo mpaka katengeneza mapesa mengi inatosha cha msingi ni kuwa na mke mkali nafsi iburudike
Achague mjinga ili afirisike! Mtu anapooa anahitaji msaidizi na sio mtu wa kumpa headache! Biashara zimsumbue kichwa mke pia amsumbue kichwa kusubiri kumuongoza kila kitu eti kisa tu alitaka mrembo!! ( Ndoa ni changamoto, yaweza kukuangusha na kukuhamisha mahali ulipo pia ndoa yaweza kukuinua na kubadili maisha yako) mtu mwenye feature hawezi tanguliza urembo kama kipaumbele ila atachagua mwenye feature mwenzake
Bila shaka wewe utakuwa hujaoa.
 
Huyo mke hata BUREEEE simtaki... si mrembo kabisaaaaa... ila wazungu ndivyo walivyo, hawajui kabisa kuchagua mke... mwanaume wa kizungu akishapigwa ORAL ya nguvu na kapewa tigo na mwanamake basi anatangaza NDOA.... hata awe kiziwi... maana huyu mke wa Mark mm hata BURE SIMTAKI... si mrembo hata kidogo.. Hivi mchina kweli anavutia kuoa..? OMG... Kweli kila mtu duniani ana bahati yake...
ni mke wake... si mke wako
 
kula like nyingi. Waliosema kwenye maendeleo ya mwanaume, kuna mwanamke mwerevu nyuma yake hawakukurupuka. Me akitaka asiendelee, aoe ke pasua kichwa.
Hawa ndio wale wanachumia juani na wapenzi wao wa zamani. Siku akitajirika anatafuta kina wadada wa mjini wanaojua kutumia tu, baada ya siku 2 kafilisika.
 
Kuna watu wana hela kawaida tu ambazo kweli hata mm sina ila wanatukana wenzao huko insta balaa,sasa mzigo wa huyu jamaa wangeupata wao mbon sheshe la maana
 
Nimekubali yote uliyosema, zaidi anayo pia suti moja nyeusi, tai ya kuvalia hiyo suti na pia shati jeupe la kuvalia hiyo suti nyeusi ... baasiiii
Anazo nyingi lakin rangi moja,hataki kuchagua nguo sna
 
Mkuu Usidhani Unavyosuguaga Makalio Yako Barabarani Njia Panda Ya Tazara Ili Upate Mafanikio Basi Ni Kila Mtu. Walichotushindia Wazungu Ni Only CREATIVITY Tu Na Kujua Unataka Nini Maishani Halafu Kukazana Ili Ufanikiwe Kwa Kujituma Sana. Ila Hata Hivyo Kama Wazungu Nao Ni Washirikina Basi Hata Mimi Nitahitaji Hizo Ndumba Zao Kuliko Hizi Zetu Za Kutoana Tu MISHIPA Na Kulazana Juu Ya DARI Kila Kukicha Utadhani Popo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu nimecheka sana mpaka wife kaamka kajua tumavamiwa na majambazi
 
Huyo mke hata BUREEEE simtaki... si mrembo kabisaaaaa... ila wazungu ndivyo walivyo, hawajui kabisa kuchagua mke... mwanaume wa kizungu akishapigwa ORAL ya nguvu na kapewa tigo na mwanamake basi anatangaza NDOA.... hata awe kiziwi... maana huyu mke wa Mark mm hata BURE SIMTAKI... si mrembo hata kidogo.. Hivi mchina kweli anavutia kuoa..? OMG... Kweli kila mtu duniani ana bahati yake...
Mkuu huyu ni zaidi ya mke kwa Mark. Na ninaamini angekuwa zaidi ya mke kwa kila mwanaume ambaye angekuwa naye. Mahusiano ya Mark na huyu dada yameanza wakiwa Chuo cha Havard (Remember, Havard University!), bidada ni Mwalimu by Professional na inasemekana ni KICHWA balaa! Sasa hata kama ingekuwa mimi mkuu, nihangaike na akina "Mwajuma Ndala Ndefu" kila siku vizinga wakati yupo msichana descent almost katika kila sekta. Uzuri wa mwanamke unaanzia kichwani.
f8453d52cbf96d9c633d950b97f1fa6c.jpg
 
Back
Top Bottom