RaJhumoR
Member
- Mar 1, 2021
- 20
- 29
Ebhana watu wa JF nawasalimu kwa Heshima ya Jamhuri ya muungano wa Taifa letu
Nina biashara nahitaji kuuza hili kabati langu la vioo, Na nimelipenda sana ila dah kuna madogo wawili wamekuwa position nyumbani sasa ni watundu balaa na mm nahofia watavunja maana wao sasahivi wanashinda room kwangu, anyways less stories more business
Ninaliachia kwa 250k 🥲🥰 Hili ni multi purpose, unaweza tumia kama showcase ya minerals ( Special gemstones ), ama ukatumia kuwekea vitu vua biashara, or ukatumia nyumbani kama mimi, Vioo vyake ni vizima
Niko Tabata Sanene For more Inquiries, ease contact me through my whatsapp 0776 101007 or phone call me at 0672303307
Thank You na na karibu