SOLD: Kabati linauzwa

SOLD: Kabati linauzwa

Status
Not open for further replies.

Pundo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
2,390
Reaction score
3,308
Habarini wakuu.

Kabati la mbao linauzwa ( sio mchina).

Receipt ipo.

Jipya kabisa, kwaajili ya utunzaji mzuri.

Linapatikana kimara mwisho.

Bei ya mwisho 220k.

Picha zipo chini.

Ukilipenda nitafute. 0712887416.
 
Hatukuzoea kuuza vitu vya ndani tumeanza kuuza kwa speed sana kutokana na juhudi za awamu ya KISHINDO
Acha mkuu maisha ni magumu mno.

Umeongea ukweli.

Nisapoti ukiweza mali iondoke sina namna bwana Billie
 
Ningekuwa dar ningelichukua mkuu ila mpaka kulileta moro town inaweza fika 350k
Aiseee ni changamoto kwa nje ya dar.

Unaweza pia nitangazia kwa mtu wa Dar mwenye uhitaji nalo.
 
Mkuu Hilo kabati sio la mbao wametumia material ya mdf n la kichina Kaka kabati km Hilo likigusa maji linatanuka(kuvimba) ....

Anyway .. ..Kuna 100k ukiwa tayar tufanye biashara
 
Mkuu Hilo kabati sio la mbao wametumia material ya mdf n la kichina Kaka kabati km Hilo likigusa maji linatanuka(kuvimba) ....

Anyway .. ..Kuna 100k ukiwa tayar tufanye biashara

Kashasema ni mbao mkuu, basi tuamini ametuongopea ila kaongelea hizo tofauti.... mteja naye si anayo macho yake akifika bei..!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom